Feeling lonely

Habar zenu..? Nahtaj rafiki wa kiume ambae yupo single kama mimi tuwe tunachart na if god wishes tuwe wapenz hatimae tuoane... Sihitaj kuwa diss appounted jaman

Sema nahitaji mupenzi watu wajimwage,acha blah! blah! za rafiki bhana
 
Huko unakoishi wanaume hawapo binti?

Love Connect imewekwa ya nini?
Majibu ya namna hii ndio yanafanya watu wajiulize mara mbili kabla hawajajifunga mabomu na kuweka mabandiko yao ya kusaka wenza best
 
Pole dawa ya kumpata mmwenza ni goti tu, mengine yooote mbwembwe mpenzi. muombe Mungu atakupa kwa wakati usijeparamia mapepo bure humu.

Binafsi Nilishawahi kutana na mwa JF mmoja (tena kirafiki tu na si ki upenzi zaidi) niliumwa kichwa kwa wiki nzima karibia kufa hadi nilipopelekwa kupata maombi ya deliverance (si uongo). lile lilikuwa pepo nahisi.
ha ha ha umenichekesha sana doh!!
 
Imewekwa kwa watu wanaojielewa...

Kwanza kwa namna tu huyu mtu aandikavyo anaonekana yungali binti mdogo sana...

Am very positive huyu binti ataishia kuumizwa moyo wake...she seems desperate

Love Connect imewekwa ya nini?
Majibu ya namna hii ndio yanafanya watu wajiulize mara mbili kabla hawajajifunga mabomu na kuweka mabandiko yao ya kusaka wenza best
 
Imewekwa kwa watu wanaojielewa...

Kwanza kwa namna tu huyu mtu aandikavyo anaonekana yungali binti mdogo sana...

Am very positive huyu binti ataishia kuumizwa moyo wake...she seems desperate

Nimekuelewa best.
If you can,mwite kipande ile umshauri before its too late
 
Nimekuelewa best.
If you can,mwite kipande ile umshauri before its too late

Hahaha...haya machache niliyoandika kama ana macho na asome.

I dont entertain much huko upande wa pili unless mtu anifuate mwenyewe besti....
 
Bonge la nouma kutongoza wanaume kiakili................!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom