Recent content by guantamonera

  1. G

    JamiiForums Tanzania Wema atakwa kujifunza kuweka breki mdomoni

    Niko shangarai hapa Karibu na panoni
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wema atakwa kujifunza kuweka breki mdomoni

    Haaaa mkuu ipo kikatiti nipo majani ya chai hapa
  3. G

    JamiiForums Tanzania Shukrani Azam TV

    Azam tv nawapa big up lakini jitahidini mtuwekee na capital TV sitaki kuamini kama hamuwezi kwa sababu itv na eatv Zipo malizieni Basi na hiyo capital jaman tafadhali sana
  4. G

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamini Uswazi kuna Great Thinkers wa ukweli

    Hata mi ameniinspire sana anajua kujenga hoja and na ana confidence ya kutosha
  5. G

    JamiiForums Tanzania Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

    Prof.kanywami
  6. G

    JamiiForums Tanzania Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

    Prof.kanisani Prof. Samweli maghimbi Prof. Palamagamba kabudi Prof.kabudi Prof. Mwaikusa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mchinjaji wa ISIS, Mohammed Emwazi aliwahi kuja Tanzania na kushtukiwa na Vyombo vya Usalama

    Binafsi nilishtuka sana nilivyoiona hii Habari cnn yahoo na BBC, Kweli mwenyezi Mungu atunusuru
  8. G

    JamiiForums Tanzania Eye international ipo wapi?

    Ipo kama unatokea morroco mkono wa kushoto unashuka kituo cha Victoria na kuna kituo cha mafuta kinaitwa Victoria
  9. G

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa dawa wamng'oa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya!

    Hongera sana dk Meru nilikufahamu kipindi kifupi nilichowahi kufanya kazi katika moja ya makampuni yaliyoko pale EPZA hakika ni mchapakazi na una weledi wa hali ya juu and you are very humble more than i was imagine,hongera sana theodory
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu unahitajika

    Umekutana nae katika mazingira gani, kazini,barabarani,mtaani,club,church bar au mnakaa mtaa mmoja, then nitarudi kukushauri madam.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Channel ten namashaka na hii habari

    Mkuu hata tbc nimeiona kwenye habari za michezo
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu Kipindi cha Hizi Nazo cha Radio One Stereo

    Kipindi poa sana kila ijumaa sikosi
  13. G

    JamiiForums Tanzania Dtv ndani ya Azam tv

    Mi nasubiri tu waweke capital
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kenny Rogers, Dolly Parton na Don williams nani aliyeimba nyimbo nzuri za mapenzi?

    Hapo umenukuna mtoa mada, mimi nina nyimbo zao wote hao kwenye pc na kwenye simu zangu wote nawakubali ila narudia tena ila dolly najikuta namsikiliza mara nyingi ananikosha sana huyu bibiye
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mkulima wa Kakao aonja Chocolate kwa x1!!

    mkuu niliangalia kipind cha richard quest cnn akawa anawauliza kama wale wakulima wameshawahi kuonja choclate wakasema hawajawahi richard akawapa aisee nilijisikia vibaya sana manake richard alivyowaambia thats is your cocoa hawakuamini kwa sababu wao wamezoea kulima tu cocoa ila hawaifahamu...
Back
Top Bottom