Shukrani Azam TV

Shukrani Azam TV

Mpaka jana kulikuwa na idadi ya channel 111 toka 85.
Nasikia na leo zimeongezwa zingine.....hatua nzuri kwa kweli.
 
Mbona channel za kihindi ndio zimeongezwa nyingi,utadhani tupo Bombay?wekeni channels za lugha ya Kiingereza hasa zile za habari kama CNN.SkyNews n.k

Ipo France24, BBC, Aljazeera. Au lazima CNN na Sky? Azam ime target wote, mbona channels za kiingereza bado ni nyingi kuliko hizo za kihindi?
 
Hongereni sana AZAM kwa kutuwezesha wadau kuiona star tv bila chenga na zaidi ya yote kupata channel muhimu za kibongo bure.
 
Star tv atakua ameogopa ujio wa Qtv kwenye king'amuzi cha azam ambayo inarusha dira ya dunia kwa lugha ya kiswahili pia
 
Hawa jamaa hawastahili Hongera kiasi hicho, ila wanajitahidi..........!

Channels nyingi kutoka Kenya ni za habari tu! Wanatakiwa waingize channel za Burudani.
Vilabu vile Uganda.

Sasa Azam Wanaingiza hata channel ambazo hazina ubora wa picha kabisa.

Ukija upande wa michezo hapo ndipo wamechemka kabisa siku ya jumamosi Ligi tatu zinaingia uwanjani kwa wakati mmoja alafu bado wana channels mbili tu... sasa jiulize wanaweza kurusha mechi muhimu kutoka ligi zote kwa wakati mmoja....?

Kwa mfano : wiki iliyopita
- simba alikuwa kiwanja.
- Yanga alikuwa na mechi
-Gor Mahia alikuwa na mechi
- KCC naye alikuwa akicheza.

Sasa ukiwa na channels mbili tu yaani Azam1 na Azam2 utawezaje kuridhisha watazamaji wa soka wa pande zote..?
 
Saafi sana Azam Media tisha sana... Nilimic habari za michezo zenye uchambuzi wa kina za yule Mtangazaji Ahmedi Ally
 
hv hawa Azam mbona wametoa channel ya AMC AFRICA..kuna mwenye kuelewa sababu?
 
hv hawa Azam mbona wametoa channel ya AMC AFRICA..kuna mwenye kuelewa sababu?
Sababu ni kwamba Ngono ilikuwa nje nje.
Ile channel walikuwa na vipindi vya filam ambavyo 80%ni ngono kwenda mbele tena fully naked.
Na mbaya zaidi walikuwa wanaweka marejeo ya filam hizo hadi mchana.Sasa kama haupo nyumbani basi ujue umeacha balaa kwa watoto.
FULL porns.
Naimani kwa swali lako jibu umelipata,maana na wewe ni mdau wa kuangalia Channel hiyo,na kama upo makini hayo mambo yalikuwepo kwa kiwango kikubwa sana.
Starehe ina kikomo,na mungu apewe nafasi yake kwa jamii.
Nimewapongeza sana kwa kuifuta.
 
Hongereni sana AZAM Media kwa hili.
Maana Dira ya Dunia nilikuwa naikosa sana.Futuhi ndio kabisaaa

Na kwa kasi hii,natumai mwakani Ligi ya Uingereza tutaiona.
Maana ye Kenya Tunaiona,ya Uganda Ndio nyumbani kabisaa maana Mdhamini mwenyewe ni AZAM na inaitwa Uganda Azam Premium League kama sikosei.

Mkipandishiwa bei ili muone hizo mechi msilete thread za kuwalalamikia humu.
 
Azam tv nawapa big up lakini jitahidini mtuwekee na capital TV sitaki kuamini kama hamuwezi kwa sababu itv na eatv Zipo malizieni Basi na hiyo capital jaman tafadhali sana
 
Hawa jamaa hawastahili Hongera kiasi hicho, ila wanajitahidi..........!

Channels nyingi kutoka Kenya ni za habari tu! Wanatakiwa waingize channel za Burudani.
Vilabu vile Uganda.

Sasa Azam Wanaingiza hata channel ambazo hazina ubora wa picha kabisa.

Ukija upande wa michezo hapo ndipo wamechemka kabisa siku ya jumamosi Ligi tatu zinaingia uwanjani kwa wakati mmoja alafu bado wana channels mbili tu... sasa jiulize wanaweza kurusha mechi muhimu kutoka ligi zote kwa wakati mmoja....?

Kwa mfano : wiki iliyopita
- simba alikuwa kiwanja.
- Yanga alikuwa na mechi
-Gor Mahia alikuwa na mechi
- KCC naye alikuwa akicheza.

Sasa ukiwa na channels mbili tu yaani Azam1 na Azam2 utawezaje kuridhisha watazamaji wa soka wa pande zote..?

Wewe ni bure kabisa, ni kituo gani cha matangazo nchini kinaweza rusha mechi tatu kwa wakati mmoja? Hua "info.channel" wanaitumia, uachage kuropoka kama umekunya
 
Azam tv nawapa big up lakini jitahidini mtuwekee na capital TV sitaki kuamini kama hamuwezi kwa sababu itv na eatv Zipo malizieni Basi na hiyo capital jaman tafadhali sana

Capital si kituo cha kitaifa, wakati mchakato wa digitali ukifanyika free to air channels ziko 5 , TBC1, Itv, Eatv, startv na chnl ten, clouds wamejikomba tu jambo.wanaishia kigamboni, Azam two iko kwenye.mchakato! Relax
 
mbona kwangu haionyeshi na nimejiunga kwenye kifurushi cha azam play? najaribu kuwapigia lakini simu yao inaita muda mrefu bila kipokelewa! inaandika access denied.wadau wenye utaalam waniambie!

Search
 
Leo Azam walikuwa na matatizo gani??
Nimekosa matangazo tango asubuhi. Eti hii saa tatu kasoro ndio wamerudi hewani :what::what::what:
 
Back
Top Bottom