Recent content by gsu

  1. gsu

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

    chadema kunaujuha sana ndani yake sijui nani kawaroga.
  2. gsu

    JamiiForums Tanzania Wanaume wote sinza mwenge na Dar nzima, karibu kujipatia nguo nzuri

    weka picha mkuu.
  3. gsu

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Hai, aamuru shamba la Freeman Mbowe la Mbogamboga liharibiwe, Mbowe alaani!

    mbowe anapaswa kufungwa ameharibu sana mazingira
  4. gsu

    JamiiForums Tanzania John Heche: Wananchi wa Tarime jiandaeni, Tutavamia mgodi wa Acacia na kupora kila kitu

    kumbe heche mjinga kiasi hiki ukiona anakichwa kikubwa utadhani mtu wa maana kumbe hovyo kabisa.
  5. gsu

    JamiiForums Tanzania Wakati yote yanafanyika Usalama wa Taifa walikuwa wapi?

    Eti umesema nini mkuu.
  6. gsu

    JamiiForums Tanzania Rais Mkapa awatetea wawekezaji, asema sio wezi

    mbona unatuletea tarifa za miaka kibao ya nyuma.
  7. gsu

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

    Hawa jamaa nikama hawajitambui sijui kama wanajua wanachofanya anachofanya jpm ndiyo walikuwa wanapigia kelele,sijui wameingiziwa nini tena wamegeuka.
  8. gsu

    JamiiForums Tanzania YATOKANAYO na taarifa za kamati mbili za makinikia ni kusaka fidia!

    sote tunajua kuwa mmenunuliwa lakini wewe na Lisu lenu moja kamwe hatudanganyiki tutawanyonga tena mchana kweupe.
  9. gsu

    JamiiForums Tanzania Lissu, Zitto, Polepole na Nderakindo kukutana kujadili Vipaumbele, Utendaji na Siasa za Tanzania

    halafu baada ya hapo inakuwaje
  10. gsu

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba na mbao vipi leo
  11. gsu

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inarudi kwenye mfumo wa chama kimoja?

    fanyeni kazi zakuwatumikia watanzania acheni majungu ccm wanapiga kazi chini ya magufuli nyie mnatetea wauza unga na mafisadi.
  12. gsu

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Zitto Acheni upotoshaji: Siasa za ramli hazina nafasi

    Tushawazoea nao porojo nyingi hakuna cha maana hata kimoja wanachofanya.
  13. gsu

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani nani kawapa mamlaka haya?

    sheria tu ndiyo imewapa hiyo nguvu wala siyo vinginevyo.
  14. gsu

    JamiiForums Tanzania CCM Lowassa kawaachia chama chenu, mbona mnakesha kumsema? Mwacheni

    mkuu mahakama ya mafisadi sijui kama itamwacha salama.
  15. gsu

    JamiiForums Tanzania CCM Lowassa kawaachia chama chenu, mbona mnakesha kumsema? Mwacheni

    Lowasa ni mwizi lazima kuandamwa kila kona ili abadilike kabisa kwa tabia yake ya wizi.
Back
Top Bottom