Rais Mkapa awatetea wawekezaji, asema sio wezi

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,500
2,000
Akizungumza miaka kadhaa iliyopita Mkapa ambaye kwa sasa no Rais mstaafu alitoa utetezi wake kwa wawekezaji kuwa siyo wezi kama watu wanavyowafikiria.
Nini maoni yako?

=====

Jun 21, 2005

RAIS Benjamin Mkapa amewataka Watanzania kuondokana na kasumba kuwa wawekezaji katika sekta ya madini ni wezi.

Amekanusha pia madai kuwa wawekezaji wanafilisi mali asili iliyopo na kwamba itawaacha Watanzania katika dimbwi la umasikini.

"Hawa si wezi ni wabia wa maendeleo yetu na uwiano wa maslahi na haki yetu

"Hawa si wezi ni wabia wa maendeleo yetu na uwiano wa maslahi na haki yetu ipo, naondoka madarakani miezi minne ijayo nikaacha Serikali ijayo ambayo naamini itakuwa ya CCM na kwamba uwiano na haki vitaendelea,"
 
Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
3,346
2,000
Huyu mange atawapoteza sana nasema ..hiyo quote ya mkapa ilikuwa b4 ata hii issue ya acacia na alikuwa anafungua mgodi wa GGM , afu kingine iyo habari from ku google
Awa akasia n mbonga yetu , imewiva vizuri ni sisi na ugali wetu kuila
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
9,046
2,000
Huyu mange atawapoteza sana nasema ..hiyo quote ya mkapa ilikuwa b4 ata hii issue ya acacia na alikuwa anafungua mgodi wa GGM , afu kingine iyo habari from ku google
Awa akasia n mbonga yetu , imewiva vizuri ni sisi na ugali wetu kuila
lkn ilihusiana na migodi siyo?
 
Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,500
2,000
Huyu mange atawapoteza sana nasema ..hiyo quote ya mkapa ilikuwa b4 ata hii issue ya acacia na alikuwa anafungua mgodi wa GGM , afu kingine iyo habari from ku google
Awa akasia n mbonga yetu , imewiva vizuri ni sisi na ugali wetu kuila
haujasoma hata maelezo niliyoandika! poor you lumumba
 
Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,500
2,000
Apo ilikuwa ndio mwekezaji amekuja hatukujua km things will go wrong sababu still tulikuwa tuna own share and percent xo as process goes on ndio mambo yakawa wrong xo usiseme ilihusiana na migodi
Teh teh teh teh! tumepigiwa hesabu kuwa mambo yameanza kuwa wrong mwaka mliposaini mikataba, iweje muwagundue sasa hivi? ama kweli ccm nyie ni wazito na hamfai
 
chipaka.com

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,891
2,000
Hawa ndio watamkwamisha Mh,Magufuli sasa magu,tupa chama njoo na bendera ya taifa tutakuunga mkono,
 
mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
4,696
2,000
Kayazungumza haya kwa sababu anataka watanzania tusimuhusishe yeye kwenye hili sakata, maana wengi kwa sasa tunataka yeye na marais wenzake waliopita wakamatwe tuwashughulikie kwani masime na mashoka tunayo na tumeshayanoa tayari.
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
9,990
2,000
Huyu mange atawapoteza sana nasema ..hiyo quote ya mkapa ilikuwa b4 ata hii issue ya acacia na alikuwa anafungua mgodi wa GGM , afu kingine iyo habari from ku google
Awa akasia n mbonga yetu , imewiva vizuri ni sisi na ugali wetu kuila
Acha ujinga wewe! Unafahamu African Barrick Gold ilianza kufanya kazi zake lini hadi useme ilikuwa bado?

Soma hii habari kisha angalia iliandikwa lini:
What Really Happened at the Barrick Gold Mine in Tanzania?

An international NGO fact-finding mission is calling on the Canadian government to support its call for a full and independent public inquiry into the alleged 1996 forced evictions and burial of miners at the Canadian-owned Bulyanhulu gold mine in Tanzania.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom