Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

Wapinzani wapi wakati Lissu anamtishia kuwa atashitakiwa na ACACIA.
lisu aliongea kulingana na mikataba iliyochongwa na CCM inavyowapa mamlaka ya kuokota kila kitu, Tambua lisu hajawatetea wazungu yy alikuwa akilia na sheria mbovu zilizopitishwa na CCM Subiria majadiliano wazungu si wajinga wamependekeza majadiliano ili wapate kuwabana huko huko.
 
Wewe ndiyo kilaza wa mwisho kabsa Duniani Kumbuka huyo mmiliki kaja kuandaa mkutano wa majadiliano wakishakubaliana ndipo wataitengua mikataba ya zamani mibovu iliyopo iliyopitishwa na CCM wenzako wajinga kama wewe gulio la wajinga lipo CCM kwani bila wao ujinga huu usingekuwa unajadiliwa leo.
Unadhani kwa nini hakukimbilia mahakamani kama alivyoshauri Lissu?
 
Wewe ndiyo kilaza wa mwisho kabsa Duniani Kumbuka huyo mmiliki kaja kuandaa mkutano wa majadiliano wakishakubaliana ndipo wataitengua mikataba ya zamani mibovu iliyopo iliyopitishwa na CCM wenzako wajinga kama wewe gulio la wajinga lipo CCM kwani bila wao ujinga huu usingekuwa unajadiliwa leo.
wewe kamwehu tu na bd mtaropokaaaaaaaaaa
 
unajifanya kujua mno
lisu aliongea kulingana na mikataba iliyochongwa na CCM inavyowapa mamlaka ya kuokota kila kitu, Tambua lisu hajawatetea wazungu yy alikuwa akilia na sheria mbovu zilizopitishwa na CCM Subiria majadiliano wazungu si wajinga wamependekeza majadiliano ili wapate kuwabana huko huko.
 
mkuu mwanasiasa ni mwanasiasa tu leo rais maghufuli kashangaza watanzania kwa kuwatetea majizi jk na mkapa eti yasivuliwe kinga. kweli nimeamini mafisadi lao moja. tunafanyiwa maigizo hapo.
mkuu wa wezi anaachwa lakini waliotekeleza Amri kutoka juu wanahangaishwa na mahojiano, pasipo mkapa na kikwete kuhojiwa ujue hakuna kitu hapo zitabakia sinema za kuwasahaulisha wananchi juu ya vyeti vya Bashite
 
Wahurumie wenzie , subiri hao walimpongeza JPM huko ufipa kama 2020 utawaona tena, labda kama MBOWE amegawa hisa za SACCOSS yake
mkuu afadhali hii ya mbowe kuliko ya maguu misukule yote ya lumumba imewekwa mfukoni mwa jpm. hata mh. akijamba malumumba yanashangilia.upuuzi mtupu
 
wewe kamwehu tu na bd mtaropokaaaaaaaaaa
yaani kama mama yako? Uniheshimu ujue mie nimezaa na mama yako mdogo wako unamjua baba yake? Kama ni mwehu ni wewe unayeshinda nyumbani kwa tumbo tumbo mjinga mjinga Le mutuz.
 
chadema kunaujuha sana ndani yake sijui nani kawaroga.
 
Kosa la CDM ni nini hasa?! Kushauri sheria zetu mbovu zilizogawa raslimali zetu hovyo kwa wageni zibadilishwe, au ni kule kutokumshangilia jamaa na changa lake la macho?!

Walioidhinisha mpuuzi huu wapo tena wanahudumiwa na kodi ya wananchi lakini mnatafuta kichaka cha kukimbilia (Lisu & CDM) !!! Iweni wa kweli kwa taifa na nafsi zenu.
na wahusika wengine wamekimbilia chadema....hahahahaha yaani chadema mnachekesha sanaaa...Dk slaa peke yake ndio mtu nimemuona ana akili kati ya waliokua viongozi wote wa chadema...achilia mbali wafuasi wa chadema ambao wanaenda na mihemko tu bila kutafakari (T lisu na Lema ni mifano halisia) sijawahi shabikia ccm ila magufuli nimemkubali
 
Ni mwendo wa sinema kibao mpaka vyeti feki vya makonda vifike 2020
 
Tulisema Tundu Lissu ni debe tupu ,unaweza kuwa mwanasheria mzuri lakinikama huna busara basi unakuwa debe tupu sasa karukia kuwa Kikwete na Mkapa washitikiwe kwa kosa gani hao walisaini mikataba kwa kuwaamini akina Chenge na timu yake hao ndio walikuwa wakitayarisha mikataba na sio Mh Mkapa wala Kikwete ,hawa waliwaamini sana akina Chenge kumbe akina Chenge wanaitumia elimu yao kuwaibia walewale waliowawezesha.Halafu Lissu alivyo muongo anadai kamati zote zanyuma zimefanya kile kamati ya akina Osoro na Mruma imekifanya sijui kipi na wapi hizo kamati zilisema tunaibiwa makinikia ,kwa hiyo tunaibiwa ,wapi iliwataja wahusika wakuu wa mikataba hiyo,uchunguzi wa kitaalamu waliufanya kama sio kwenda kutalii tu nchi za watu
bila mkapa na jk kuhojiwa juu ya wizi huu wa madini ni kazi bure. kina chenge ni kuwaonea bure. tungekuww nchi kama korea au china hao walipaswa kupigwa risasi hadharani kwa kulitumbukiza taifa kwenye mikataba ya hovyo
 
chadema kunaujuha sana ndani yake sijui nani kawaroga.
Ujuha upo CCM tena majuha sugu yaani tokea 1998 Wapinzani wamepiga kelele ndiyo mnakuja kuzinduka 2017 kama sio ujuha ni nini?
 
Tundu lisu ni msomi ambaye hajaelimika!wasomi hawapayuki
Lipumba, kapuya, Tibaijuka, mwakyembe si hujiita wasomi? Mbona hawana busara? Wanaojiita wasomi huko CCM ndiyo hupitisha mikataba mibovu na kufanya mambo ya ajabu ajabu.
 
Lipumba, kapuya, Tibaijuka, mwakyembe si hujiita wasomi? Mbona hawana busara? Wanaojiita wasomi huko CCM ndiyo hupitisha mikataba mibovu na kufanya mambo ya ajabu ajabu.
Kwa hiyo na Lisu kaungana nao kufanya mambo ya ajabu ajabu??
 
na wahusika wengine wamekimbilia chadema....hahahahaha yaani chadema mnachekesha sanaaa...Dk slaa peke yake ndio mtu nimemuona ana akili kati ya waliokua viongozi wote wa chadema...achilia mbali wafuasi wa chadema ambao wanaenda na mihemko tu bila kutafakari (T lisu na Lema ni mifano halisia) sijawahi shabikia ccm ila magufuli nimemkubali
mkuu wizi hauna itikadi. tatizo maccm yamegeuza vita hii ya kisiasa. nimevunjika moyo na kauli ya rais leo kuwatetea majizi jk na mkapa kwa kuzuia wasivuliwe kinga ya kutoshitakiwa. mafisadi ilopasws watafutwe kokote waliko na kuwatokomeza kabisa.
 
Back
Top Bottom