Mbezi juu mtaa wa TATEDO hatuna umeme siku ya nne sasa kwa kwa sababu ya kuanguka kwa nguzo. Ukipiga simu wanasema wanakuja, ukienda ofisini kwao Tangi bovu wimbo ni ule ule gari lilikuwa bovu. Hivi tozo ya service charge tunayolipa kila mwezi inafanya nini? Badra Masoud umo humu jamvini si...
Mwaka huu baraza la Mitihani lilitoa utaratibu wa kuripia mitihani kwa njia tatu, ambazo ni Posta, M-Pesa an Selcom. Lakini imeonekana kuna tatizo la mfumo wa malipo. Mimi nilituma ada ya mtihani kwa njia ya M-pesa, lakini juzi nilipata msg ya kunitaka nikaripie mitihani kabla ya tarehe 1 mwezi...
Kwa masikitiko makubwa napenda kuuandikia uongozi wa mfuko huu kuchukua hatua na za haraka ili kurekebisha uzembe unaofanywa na maafisa wa mfuko huu. Mimi ni mfanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo, mnamo mwezi wa sita nilijaza fomu kwa ajili ya kupata kadi ya uanachama ya mwanangu...
Hapo mchangia mada umegusa penyewe kabisa, mi ni mkazi ninayeishi mbezi juu, ninatumia moja ya barabara uliyoitaja (Mbezi garden-Baraza la mitihani). Barabara hii haijawahi kufanyiwa hata marekebisho madogo tu kwa muda mrefu sana. Ukitoka makonde baada ya kuacha junction ya St Marys na baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.