Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
sijawai tumia iPhone toka ziwepo, kuna mzungu ambaye ni rafiki yangu..... kaja Bongo na used i4s. Kaniachia nitumie ila kuna settings na some stuffs zake kwenye simu, naomba mnisaidie jinsi ya kuformat kila kitu ili nianze upya. thanks guys.