Recent content by greencity2015

  1. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

    Namuomba Mungu asinipe mtoto wa kiume Maana nimeumia sana sana
  2. G

    JamiiForums Tanzania Dk. Tulia Ackson: Nimebebwa kwa kushindwa kipi?

    Safiiiiiiiiiiiiiiii
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wanaume siku hizi wana Vitambi na Kitandani hawafanyi kitu

    Mitambiiiiiiiiii noma
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Blue screen kwenye PC, tatizo nini?

    Fanta recovery kwanza then repair disk inawezekana ikawa na virus pia Soma maelekezo hapa kwenye attachment
  5. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya conceptual framework na theoretical framework,pia na hypothesis

    Huyo anayesema wanafunzi wakitanzania wapumbavu,mpumbavu yeye na familia yake kwanza kama ni mwanaume amekosa hekima kabisaaaaaaa,kama NI mwanaume Sijui anaishije na mke wake Kama hajaoa namshauri asioe kwasababu hana utaalamu wa kuendesha familia
  6. G

    JamiiForums Tanzania Zitto na ACT-Wazalendo, aibu hii haitasahaulika kamwe

    Pamoja na kuvua busts na kutuonyesha nyeti zake Bado wanampa KAZI YA kusimama Na kunadi kura bungeni sio pango la wasiojielewa Amuulize IRENE UWOYA
  7. G

    JamiiForums Tanzania Zitto na ACT-Wazalendo, aibu hii haitasahaulika kamwe

    Kosa Lao kubwa Sana ni kumuweka Afande sele agombee ubunge
  8. G

    JamiiForums Tanzania Je,bado kuna nafasi open university

    Nenda pale chuo Onana Na Mwl OMBENI atakusaidia Sana kama unaqualify why wiki Hii Ndio intake imefunguliwa
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mahakama Moro yaahirisha hukumu ya Sheikh Ponda

    Mhhhh sheikh acha acha udini CCM inahusiana vipi Na sheikh Ponda Mbona raisi ni Muslim na Mbona muendesha mashitaka ni Muslim ukabila Sisi ni ndugu acha kabisa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ina maana wanawake wazuri hawana sifa ya kuajiriwa serikalini, ni private organizations tu?

    Then kwa CAG kuna wasichana warembo balaa sema hujui wewe nenda pale Makao makuu posta jifanye umepotea njia
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ina maana wanawake wazuri hawana sifa ya kuajiriwa serikalini, ni private organizations tu?

    Wanawake wazuri wapo serikalini tena wengi inawezekana umeenda serikali za vijiji nenda TRA,TIB,BOT,WIZARA YA KAZI,MAHAKAMA KUU ETC hizo ni baadhi tu wakati mwingine kujifanya hujui kitu ni bora
  12. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Hiyo aina shida Mbona raisi wa Trinidad and Tobago hajui kiingereza sembuse Magufuli wetu acheni hizooo Leteni Hoja zenye nguvu tuzijadili hapa
  13. G

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    Nafikiri ilikuwa ni Kile kizazi ambacho alikuwa anakwenda kumbariki watoto wengi alijua katika uzao wake watamgeuka tu
Back
Top Bottom