Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Anayejitahidi kuficha udhaifu wake wa kuzungumza Kiingereza ambacho hapa kwetu ni lugha ya Kiofisi na lugha ya biashara kwa kuchomekea lugha za jadi.Tanzania imeingia katika historia maana almanusa tutachagua Dikteta na Mbumbumbu bingwa wa kukariri na wala sio kuelewa.
 
Hivi hiyo ali pronounce

Conjragulation au mkojoreleshe to you.

Haaaa...omg..!!!
 
mwacheni pombe aingie Ikulu achape kazi hagombei uwaziri wa Mambo ya nje mbona Rais wa China hajui kingereza. Hapa kazi tu

Magufuli anatosha kuwa rais mtekekezaji. Kwanza wengi humu JF wana digrii lkn hicho kiingereza cha kufanyia ksxi ni hoi. Hata barua ya kuomba kazi mpaka waandikiwe. Mwacheni rais Magufuli axungumze mradi anaeleweka na tunamshauri azungumze kiswahili tu popote hata akiwa na wageni ili tujivunie kiswahili.
 
Hiv rais wa china anajua hata english kweli?... mi nadhqn hiyo siyo ushu hasa kwa wazalendo...labda kuwe na sababu nyingine.....hasa yenye mashiko

Tatizo sio issue yakujua lugha pekee, bali mgombea wenu hajui mengi mfano nikutokujua Saddam Hussein alikuwa mtawala wa wapi. .na mengine mengi ameonyesha udhaifu wahali ya juu, hata hatua yake yaku bong'oa nakupiga push up ni ishara ya kichwa kitupu, simdharau lakini nanena ukweni
 
Magufuli anatosha kuwa rais mtekekezaji. Kwanza wengi humu JF wana digrii lkn hicho kiingereza cha kufanyia ksxi ni hoi. Hata barua ya kuomba kazi mpaka waandikiwe. Mwacheni rais Magufuli axungumze mradi anaeleweka na tunamshauri azungumze kiswahili tu popote hata akiwa na wageni ili tujivunie kiswahili.

Siyo tujivunie kiswahili Bali tumfichie aibu!!!!!
 
Siyo tujivunie kiswahili Bali tumfichie aibu!!!!!

Hakuna aibu kwani ni uamuzi wa kutotumia lugha ya kigeni na kukienzi kiswahili. Magufuli atakuwa rais wa watanzania sisi tukimwelewa inatosha. Aamue tu kuwa na mkalimani itapendeza sana na ataheshimika kwa uamuzi huo. Ndiyo moja ya mabadiliko.
 
Phd ilisomwa kiingereza mhitimu ambaye ni former secondary school teacher kiingereza hajui chembe kwa hiyo hata hiyo Phd hana zaidi ya hicho cheti, huoni kama kuna aibu hapa, you cant be serious mkuu. Mfumo mzima wa elimu hapa umedhalilishwa kwamba huenda majority ya wahitimu wetu hawana elimu wanazodai kuhitimu zilizoko kwenye vyeti walivyonavyo. Hii nu aibu kubwa sana.

Hv katika globalization hii na kwa nchi ya mwisho kwa umaskini duniani kama yetu unapata wapi jeuri ya kukiweka kando kiingereza?
 
hivi karibuni mgombea urais kwa tiketi ya ccm akiwa jukwaani aliongea kingereza ambacho sikukielewa,hebu wataalamu nisaidie "YOU WAS LEADER"
 
Hiyo aina shida Mbona raisi wa Trinidad and Tobago hajui kiingereza sembuse Magufuli wetu acheni hizooo
Leteni Hoja zenye nguvu tuzijadili hapa
 
Ila ninachojua Lowassa hajui kifaransa,sasa sijui itakuwaje akienda nchi ambayo hawajui kiingereza bali wanajua kifaransa pekee
 
hivi karibuni mgombea urais kwa tiketi ya ccm akiwa jukwaani aliongea kingereza ambacho sikukielewa,hebu wataalamu nisaidie "YOU WAS LEADER"

Si kiingereza tu, hata busara ziro. Pombe ni mtu wa kujisifia kijinga. Kupiga push up nayo busara! Kuahidi mambo nje ya ilani ya uchaguzi ya chama nayo busara! Kuwa na nyumba ndogo inayojulikana hadharani na imeuziwa bure nyumba ya serikali nayo busara! nk. nk. Huyu jamaa ni more liability than an asset. Kwa urais NO.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom