Hawana vijana wa wenger orphans wanatabu sana. Kila msimu wanatia sana. Huruma[emoji23][emoji23]. Hakuna kitu kinauma kama kuwa kwenye form misimu miwili then una achieve zero trophy 0 inauma snaa aisee
Chelsea ikishiriki kombe lolote la Ulaya lazima abebe. Ninyi mmeshiriki makombe ya ulaya marangapi na mmeshinda mangapi?
Ninyi kule mnaenda kuzurura tu. Hamna lolote[emoji23][emoji23][emoji23].
Chelsea itabeba kombe kubwa kabla yenu subiri uone
Vitu kama ivi mashabiki wa Asernal, manure na Liverpool hawawezi kusoma. Wao wanataka habari nyepesi nyepesi kama zile za udaku. Hamisi kwa sasa amewakimbia amewajaza mashabiki wa Arsenal umbea umbea sasa kawakimbia
Hamisi chambuzi la KIFIFA yupo wapi siku hixi huu ndiyo muda wa kuleta chambuzi sasa. Tufarijike kama wanachama. Aerial due win, mara sijui nini Hamisi plz we need your analysis so far
Sasa bro na wewe arsenal unakuja kwenye uzi wa man city anayekuzidi kila aina ya makombe kusema makombe mtayasikia redioni!?
Bora hata mimi shabiki wa Chelsea niongee[emoji23][emoji23] naamini Chelsea atabeba ubingwa kabla yenu pamoja na kuwa bora misimu mitatu mfululizo
Arsenal msipo chukua kombe nitawashangaa sana. Misimu miwili mpo on fire lakini mnatoka bila hata kombe la chai?
Mnaotofauti gani na Chelsea ambaye hayupo kwenye form?
Na Chelsea anaweza kupona akabeba kombe hata kabla yenu mlioko kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.