Fatwa Kutoka: ‘Allaamah Swaalih Ibn Fawzaan Al-Fawzaan
Swali:
Tunataka uwape vijana Nasaha kuhusiana na kuchunga wakati wao katika Ramadhaan?
Jibu:
Waislamu wote sawa Vijana na wengine wote wanatakiwa kutumia wakati wao katika kumtii Allaaah – wala Ramadhaan isiwajie kwa ghafla, au ikawakuta...
kama wewe ni mfuatiliaji wa minanda au mchiriku utakuwa unawajua magwiji kama Mpogo, Jangwa, 7 Surviver na wengine kibao naomba tupeane ladha kupitia uzi huu kwa kuweka minanda nami nitajitahidi kila siku kuweka zaidi kadri nitakavyofanikiwa kuinasa
Jagwa, Ngoma inakwenda kwa jina la Asha...
Vipimo
Tambi za Mchele - Pakti 1 (400 mg)
Tui la nazi - Kikombe 1
Sukari - Nusu kikombe, ukipenda ongeza kidogo
Maziwa ya kopo (evaporated) - Nusu kikombe
Samli - Kijiko 1 cha supu
Zabibu kavu - ¼ Kikombe
Liki - ¼ kijiko cha chai
'Arki (rose flavour) - Matone matatu au zaidi
Namna Ya Kutayarisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.