Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

20091210_thisissue_600-kindle-cover_w.jpg
 
Sasa hebu tuangalie Nabii Isa ambaye wakristo wamemchukua kuwa mungu. Tuangalie mavazi yake na mwenyewe kuhusu ndevu.
Kwa kifupi hata wakristo kitabu Chao kinase ma kuhusu kufunga ndevu. Na kina wafiki. Muhimu soma. Kuvaa kanzu pia Nabii issa (yesu) amevaa..
Na lazima.unuwe tofauti kati ya ndevu za waislam na mayahudi na singa singa .muislam hafugi sharubu na ndevu zake hasizibi mdomo. .wayahudi wanafuga ndevu na sharubu. Singa singa ndevu na sharubu.
Kuhusu viatu sioni u baya wake ila naona faida yake kubwa kuvaa viatu vilivyo wazi .
Uzuri wa Waislam wanafuata mwenendo wa mtume wetu mpenzi .na ilikuwa rahisi kwani maisha yake yote yalikuwa kitabu kilicho funguliwa A (open book)
Hakuna mtume yoyote mwengine alokuwa na record ya maisha yake .
In short waislam waumini wanafuata mwenendo wa mtume. Waislam wa jina tu wanafuata yao na ya wazungu .wakristo wanafuata paulo si yesu ..wayahudi kwa kiasi wanafuata ya musa lakini kw a kiasi kidogo sana .
Dini ya kiislam sielewi wanachokiamini ni nini? Nikiona Al shabab, Isis, boko haram
 
Dini ya kiislam sielewi wanachokiamini ni nini? Nikiona Al shabab, Isis, boko haram
Unaongea dining kiislam au waislam ?jua tofauti kama walivyokuwa wakristo. Na tofauti zao .
Na dini ya ki kristo Sijui kama yesu alianzisha yeye au ilikuwa baada yake ?au kuna mahali aliposema kwa dini yenu mufuate ya ki kristo ..?
 
Back
Top Bottom