Ukikataliwa ni neno gani unalosema

Ukikataliwa ni neno gani unalosema

Na hata tukikutana tusisalimiane....pita kushoto!
 
Aaaah!!! Cjawah kukata tamaa
Aisee!!! Ukiwa unatongoza
Mmoja na ndo huyo huyo
Kila,sku hapo lazma umchoke
Mapema mm


hua,nawashikanisha.kuanzia wa 3 hapo lazma kuna mmoja
Atasumbua na huyo ndo
Unang"ang'anae huku wale wawili wakiwa wameshakubal


Unajipoozea kwa hao wawili
Huku ukiendelea kutupa mdoano kwa 3 mpaka
Atanasa mwenywe

Kukata tamaa n thambi
 
Hakuna demu anakataa.
.....mi mademu wote wanaojifanya wagumu nawaandaliaga mpango maalum lazima niwapate....CJAWAHI KUKATALIWA
Ww waganga wote wa tanga
Na,sumbawanga nafkir wanakujua
 
Nilikuwa nakupima tu kwanza huna hadhi ya kuwa na mm
 
nakaaa kmya akintafuta namwambia mwanamke mwenzake ananikeep busy cna time na vishkwambi hku moyoni kamwiba kanachoma halafu nafuta na nambaa ili hta nikimmic ncmtafute tena atajikuta keki mnoooo
 
Unamwambia tu asante,then unalala zako mbele..ya nin kuanza kurushiana maneno machafu asa?
 
Namwambia! Bora hata umenikataa, nilikuwa naomba kimoyo moyo usikubali maana inaonekana wewe ni ngoro ngoro kreita. Halafu nageuza naondoka huku kichwa kinawaka moto.
 
Back
Top Bottom