Recent content by Greatthinker47

  1. Greatthinker47

    JamiiForums Tanzania Posho kwa waajiriwa kwenye maduka ya hardware (costruction material)

    Mkuu kama kuna kazi kama hiyo mahali me nahitaji Sana hata bila marupurupu mshahara Tu unatosha 0788282455
  2. Greatthinker47

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Mimi nipo KIGAMBONI mkuu nisaidie kama Una mchongo wowote
  3. Greatthinker47

    JamiiForums Tanzania Nataka kazi katika kampuni za kutengeneza katuni

    Mafunzo ni bei gan?
  4. Greatthinker47

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani na mtaji wa laki tano?

    Waungwana naomba yeyote mwenye wazo la biashara Kwa MTAJI wa laki tano
  5. Greatthinker47

    JamiiForums Tanzania AI (Artificial Intelligence) inaupeleka ulimwengu kwenye uharibifu mkuu, kwanini nawaza hivi?

    Kuzuia ukuaji wa teknolojia ni kama kukinga maji Kwa chujio akili ya mwanadamu ni infinity
  6. Greatthinker47

    JamiiForums Tanzania Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi

    Sahihi broo Kwanza magari yaliyopo yanafanya kaz ipasavyo then waongeze, alafu kukopa pesa V8 zao mbona hazna production yyte na zina bajeti husika inamana swala la mabasi lenye kuleta faida ndo Hadi wakope?
  7. Greatthinker47

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulitumia mbinu gani kumuondoa mwanamke aliyeng'ang"ania gheto?

    Tafuta watu ucku ingia nao ndan mmevaa kama waganga wa kienyeji af mkifika wambie wazee kafara yangu kwenu ndo hii naomba achinjwe haraka Sana zuga kumshika Kwa nguvu af mpen nafac mpishen akimbie ***** hatud tena mcndikize na ubapa wa panga
  8. Greatthinker47

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

    Biblia ipi haimtaji shetani katika agano la kale ayubu ule ugonjwa wa mapele alipewa na Nani? na hicho kitabu cha ayubu ni kinapatikana katika agano lipi kwny Bible?
  9. Greatthinker47

    JamiiForums Tanzania Hodii

    Karibu me ndo handsome kuliko wote incase ukihitaji ma handsome
  10. Greatthinker47

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana hebu niwe mkweli kwako leo

    Wakupe Bia nakuja kulipa
  11. Greatthinker47

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Huyu dada anataka nini?

    26yrs
  12. Greatthinker47

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Huyu dada anataka nini?

    Habarini jamani, Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo Kwa sasa ni mke wa mtu na siku moja alinipigia na kunipa habari kwamba kwa sasa ameolewa hakuwa na namba yangu lakini...
  13. Greatthinker47

    JamiiForums Tanzania Hukuzaliwa kuja kuokolewa na mtu

    Well said
  14. Greatthinker47

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kwa mtu smart kufanya haya...

    Mimi namuunga mkono mtoa hoja
Back
Top Bottom