Recent content by GREAT INVESTOR

  1. GREAT INVESTOR

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Nahisi wamemloga jamaa asee, niko tayar kumpa mtu hata m5 akiniambia jamaa yuko wap
  2. GREAT INVESTOR

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Daa broo wangu kapoteaga asee,, alikuaga tanga saiz inasemekana alienda mgodini manyara, anaitwa INOCENT FATAEL NDOSI
  3. GREAT INVESTOR

    Siri mauaji ya bilionea wa madini na mwanaye

    Hii ni kwa nchi yenye mifumo duni na yawala rusha kama Tz...ukiua ukiwa na pesa ya kuonga uko free..... tegemea the same shit to happen daily
  4. GREAT INVESTOR

    Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Pundua vichaa wote wanaofanya nchi za familia
  5. GREAT INVESTOR

    Ulifanya nini shuleni kilichofanya kengele ya dharura ipigwe kwa ajili yako?

    Demu wa second master alikua ananipenda nikiwa form 4 nakarbia paper, wakati huo nilikua kiongozi wa mazingira so nilikabidhiwa ofisi ya vifaa vya usafi kukiwa na magodoro ndani yake, nikawa namnyandua yule demu kule ndani ya store wakati wa night prepo, So second master akasikia ila hakuweza...
  6. GREAT INVESTOR

    I'm still waiting for her message 😔

    Untangle yourself and go away Asshole [emoji3]
  7. GREAT INVESTOR

    DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

    Hakuna mtu asie wataka , watu wanachokataa ni aina ya mkataba wake na Tz, kaangalie hu mkataba wa UK kama n wakifisadi kama wetu
  8. GREAT INVESTOR

    Mnaotaka kutoboa nchi ni Canada, mtanishukuru

    ovyo,,, tunaishi marekani na watu wa cAnada,,wenyewe wanakuja tafta Dollar za hapa
  9. GREAT INVESTOR

    Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

    unajua direction ya ulaya wewe au unafungua kinywa tu
  10. GREAT INVESTOR

    MAJIBU YA DV LOTTERY NI KESHO.

    Kwa wale mlio tuma maombi ya green card, majibu huwa yanatoka kila jumamosi ya kwanza ya mwezi wa tano ambayo ni kesho. Karibuni U.S.A the land of opportunities. Kila la kheri kwa mli apply.
  11. GREAT INVESTOR

    Angel Benard aolewa mara ya pili

    hapa tunasema kaolewa apate papers//green card
Back
Top Bottom