Mnaotaka kutoboa nchi ni Canada, mtanishukuru

Mnaotaka kutoboa nchi ni Canada, mtanishukuru

Hua nikiangalia nchi zetu hizo pesa iliopo halafu niende nje hapana nasema nje ya afrika nitaenda kutembea na sio kutafuta pesa


Songea juzi wamejenga airport na wemezindua flights...hawana hotel hata moja ya nyota tatu...imagine fursa zilizopo
 
Njoo canada ukiwa na skills utatoboa, Njoo canada usomee skills ukimaliza masomo utatoboa, njoo canada ufanye biashara ukiwa na mtaji wa uhakika utatoboa.. Canada kama unapenda maisha ya ujanja ujanja kama kule marekani au africa utaishi maisha magumu sana... huku hawapendi mbambamba kila kitu ni sheria ukijichanganya unanyoooshwa dunia yote unaiona chungu kumeza.... Nilikuja hapa 2017 nikasoma zangu Information zangu Information Security 3 yrs saivi nakula salary yangu takatifu baada ya lisaa...
Vipi inawezekana kupata kazi kama huna cheti cha canada mfano mimi ni software engineer
 

Attachments

  • IMG-20230612-WA0006.jpg
    IMG-20230612-WA0006.jpg
    109.5 KB · Views: 58
  • IMG-20230612-WA0007.jpg
    IMG-20230612-WA0007.jpg
    77.3 KB · Views: 15
MBONA WALIOPO WANAMAISHA MAZURI CANADA UKILINGANISHA USA.NA KILA SIKU WANATUMA BIDHAA KUJA TZ.ILA KILA MTU NA MTAZAMO WAKE
Nimeona komenti za kwenye YouTube,kiuhalisia maisha Canada ni magumu tena sio kidogo.
 
Watu wamechangia sana kwamba Canada ni ngumu.Imagine mtu ni doctor mhamiaji lakini anakosa Kaz
Kwenye youtube Canada ni nzuri sana Ingia kwa ground ndio utaijua vizuri
 
Jela hata Tanzania unaenda, tena kwa kubambikiwa kesi. USA/EU/GB/Australia kubambikiwa kesi siyo rahisi. Ila USA/EU/Canada etc. kufungwa ni rahisi kuliko Tanzania.

Makosa madogo ambayo police anaweza kumezea akipewa kahawa huku lazima ufike mbele ya hakimu.
Hivi jela za huko US/Canada utalinganisha na gereza kama maweni au magereza ya kilimo?
 
Aya wa visit visa
 

Attachments

  • Screenshot_20230729-222326_Instagram.jpg
    Screenshot_20230729-222326_Instagram.jpg
    102.8 KB · Views: 35
  • Screenshot_20230729-202353_Instagram.jpg
    Screenshot_20230729-202353_Instagram.jpg
    121.3 KB · Views: 42
Kaka yake shetani andika kwa utulivu ili tupate vitu je kuingia huko njia rahisi ni ipi na kutoboa ni kazi gani kupata rahisi ukiwa huko.?
Hao wacanada wanakimbilia USA kwenye fursa nyingi na malipo mazuri
 
Mkuu mbona kuna wimbi kubwa la watu wanatoroka kanada na kuingia Marekani kinyemela. Yani idadi imezidi.
Now they're coming from CANADA: Northern border sees 743% spike in migrants trying to cross into US | Daily Mail Online.

Ni kweli immigrants wengi wanaondoka Canada kwa sasa
1.High tax rate
2.job opportunity
3.Cold weather
4.Racism
 
Back
Top Bottom