Recent content by GRAPHENE

  1. G

    Makosa ya RC Kebwe wa Moro na Makonda wa Dar yanafanana lakini wa Moro kang'olewa wa Dar kaachwa

    Nakukumbushia tu leo ni jumatano blaza. Au haukumaanisha week hii.? :):)
  2. G

    Naombeni ushauri na tiba: Kifua kinabana sana wakati wa kulala

    Labda itakusaidia, kama tatizo linakupata usiku. Angalia shuka au blanketi unalojifunika. Nilishawahi kupata shida kama hiyo kipindi fulani huko nyuma. Ilikuwa ni kifua kikali kinoma unakohoa ila hakuna makohozi. Unaenda hospitali hakuna tatizo, at last nilikuja kugundua blanketi ninalotumia...
  3. G

    Msaada kwenye tuta wanasiasa wenzangu na waliobahatika vizuri kuijua lugha ya malkia. Hawa jamaa Wanamibia wanamaanisha nini?

    Huo ni msemo, ni sawa na kusema hili jembe langu. Ukimaanisha unamkubali na sio eti kwa sababu ni jembe basi kazi yake ni kulimia tu. Bulldozer ni moja ya mashine ya kujengea barabara. Ni mashine yenye nguvu sana. Na inapopita inasafisha na kuweka level. Isitoshe Bulldozer ni aka ya Mkulu, ni...
  4. G

    Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

    kapeace Wewe ni mwanamke, unaweza kuwa mwanamke mzuri. Ila unaonesha sio Mke mzuri. Sifa moja kubwa ya mwanamke ni UPENDO kwa familia yake, na kuwa na moyo wa kusahau na kusamehe. Ila wewe huna.
  5. G

    LADIES AND GENTLEMEN, WELCOME TO TANZANIA'S ULTRAMODERN SGR STATIONS.

    Hahaaa, Funny thread. This is the reason the late Mwl J.K Nyerere established UTANI wa makabila. Unawaweka ndugu na majirani pamoja, unaondoa chuki na kukuza upendo. I like the way it turned from serious discussion to funny jokes. A simple advice to our fellow Kenyans. Muanze kutaniana wenyewe...
  6. G

    Madereva wa UBER mnaboa sana

    Kila biashara ina njia zake za kupata faida, na wao hiyo ndo trick yao ya kupata pesa zaidi. Wasamehe bure tuu, ukiona yuko mbele yako mu-overtake tu. Ukitaka kuwahi chukua bajaj au boda maisha yaendelee.
  7. G

    Boriska: Binadamu anayedai kuwahi kuishi sayari ya Mars

    Pinga kwa hoja, sio ukimbilie perception. Kila mtu ana perceive kivyake sikatai. Lakini kama mtiririko haujanyooka au kuna mkanganyiko, sio perception tena ni common sense tu.
  8. G

    Boriska: Binadamu anayedai kuwahi kuishi sayari ya Mars

    Hizi ni story kama story zingine tuu, yeye anadai alipotea wakati wa vita ya nyuklia. Then, anaongelea yaliyoktokea baada ya hiyo vita. Yeye kajuaje yaliyotokea baada ya vita ya nyuklia, wakati vita ya nyuklia ilishampoteza.? Wanyooshe maelezo tu.
Back
Top Bottom