Msaada kwenye tuta wanasiasa wenzangu na waliobahatika vizuri kuijua lugha ya malkia. Hawa jamaa Wanamibia wanamaanisha nini?

Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,928
6,467
Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. Msaada kwenye tuta pls. Lugha imenichanganya.
Moderators sina nia mbaya
IMG-20190529-WA0006.jpg
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. Msaada kwenye tuta pls. Lugha imenichanganya.
Moderators sina nia mbayaView attachment 1111398
Hiyo si lugha tu ya mtaani wameitumia. Wangeweza kusema MAGUFULI IN TOWN. Tatizo lenu mnatafsiri vibays kwa kukosa uelewa wenu. Magufuli anajulikana duniani kote kwa nickname ya hilo jina sijui mnashangaa nini
 
Labda jamaa alitaka waandike TINGATINGA ..............!!
 
Huo ni msemo, ni sawa na kusema hili jembe langu. Ukimaanisha unamkubali na sio eti kwa sababu ni jembe basi kazi yake ni kulimia tu.
Bulldozer ni moja ya mashine ya kujengea barabara. Ni mashine yenye nguvu sana. Na inapopita inasafisha na kuweka level. Isitoshe Bulldozer ni aka ya Mkulu, ni kama wengine wanavomuita JIWE. Haina maana mbaya, ni sawa na kusema JEMBE LANGU LIPO TOWN. Ina maana nzuri na wala sio mbaya kama baadhi wanavotaka ieleweke.
 
Wale walisema alishangiliwa sana South Africa hili mnalitafakuri vipi?
Ni sifa au dharau au kebehi?
 
Wale walisema alishangiliwa sana South Africa hili mnalitafakuri vipi?
Ni sifa au dharau au kebehi?
Jifunze lugha ya kiingereza utaona hiyo heading haina maana yoyote mbaya. Nadhani mtoa mada kishajiona mdhaifu kama kweli anazijua slang
 
It's like their internal affairs needs bulldozing mechanism to make them advance but their leaders are opportunits and very kin to their political investment making sure they not disturb ignorant fanbase and commiting suicidal mission by employing magufuli techniques which are always non political, non economical and non social in orientation. Ukanielewa Hapo utajua kwanini wamefurahi kwamba bulldozer liko mjini
 
Tatizo lilianzia hapo. Kupachikwa jina hilo, na kwa mtu mpenda sifa kama yeye kichwa kikavimba kama tikitimaji.

Kwa hiyo inamlazimu afanye mambo yote kwa njia zinazo dhihirisha na kushabihiana na 'jina' hilo ili aendelee kuonekana jina limemkaa.
 
Back
Top Bottom