Madereva wa UBER mnaboa sana

mdesi

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
1,270
2,000
Naomba niende moja kwa moja kwenye kero za madereva wa UBER, labda ni pekeyangu niliyoona hili kwa Hawa madereva, lakini nimeshuhudia Mara nyingi Sana kila siku, yaani wakikutangulia mbele wanatembea speed ya 10km/h, utakuta watu asubuhi wanawahi kazini traffic anaita magari kwa uharaka wao hilo hawajali. Mnaudhi Sana mnaendesha utadhani mnajifunza? Kuendesha mwendo wa kinyonga barabarani bila sababu ni kuwakosea watumiaji wengine.
Ukikodi Uber ikiwahishe sehemu afadhali uchukue Bajaj tu hawa Uber achana nao wachukue km hunaharaka vinginevyo unaweza mzaba vibao Dereva. Kunasiku nimeoanda Uber niwahi gongo la mboto, yule Dereva akaanza kulifuata nyuma Lori la taka ili njia ya airport wakati ni two way trafic.
Msipobadirika mtajikuta mnapaki vigari vyenu watu wanaamua kuchukua Bajaj tu au bodaboda. Mnakera Sana!
 
GRAPHENE

Member
Mar 4, 2019
9
45
Kila biashara ina njia zake za kupata faida, na wao hiyo ndo trick yao ya kupata pesa zaidi. Wasamehe bure tuu, ukiona yuko mbele yako mu-overtake tu. Ukitaka kuwahi chukua bajaj au boda maisha yaendelee.
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,137
2,000
Naomba niende moja kwa moja kwenye kero za madereva wa UBER, labda ni pekeyangu niliyoona hili kwa Hawa madereva, lakini nimeshuhudia Mara nyingi Sana kila siku, yaani wakikutangulia mbele wanatembea speed ya 10km/h, utakuta watu asubuhi wanawahi kazini traffic anaita magari kwa uharaka wao hilo hawajali. Mnaudhi Sana mnaendesha utadhani mnajifunza? Kuendesha mwendo wa kinyonga barabarani bila sababu ni kuwakosea watumiaji wengine.
Ukikodi Uber ikiwahishe sehemu afadhali uchukue Bajaj tu hawa Uber achana nao wachukue km hunaharaka vinginevyo unaweza mzaba vibao Dereva. Kunasiku nimeoanda Uber niwahi gongo la mboto, yule Dereva akaanza kulifuata nyuma Lori la taka ili njia ya airport wakati ni two way trafic.
Msipobadirika mtajikuta mnapaki vigari vyenu watu wanaamua kuchukua Bajaj tu au bodaboda. Mnakera Sana!
kwanza kusoma ramani hawa jui.uki request hana kupigia kujua hupo wapi wakati location ina onyesha.nipo nchi za nje.ukiomba uber tu au kampuni nyengine mpaka pale ulipo ndipo anakupigia hapo kuhakiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,130
2,000
kwanza kusoma ramani hawa jui.uki request hana kupigia kujua hupo wapi wakati location ina onyesha.nipo nchi za nje.ukiomba uber tu au kampuni nyengine mpaka pale ulipo ndipo anakupigia hapo kuhakiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili lako kidogo lina ukakasi, maana nimefanya hii biashara kidogo nimeona changamoto zake. Kwa kifupi, network na poor digitalization ya mji ni changamoto. Kwa wewe abiria kwa kuwa upo static, unaona movement ya gari kiurahisi tangu inapoanza safari hadi kukufikia, lakin kwa dereva anapata changamoto ya mtandao maana ramani inachelewa ku-update kiasi mara kadhaa utajikuta umeipita kona uliotakiwa kukata.

Ni rahisi zaidi kunavigate maeneo yaliyopangwa vyema na kuwa na majina ya mitaa na barabara kama Masaki kuliko kunavigate eneo kama Tabata au Msewe.

Kuhusu hili la kuendesha pole pole hawa jamaa ni kero kwa kweli.
 
R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,187
2,000
Jamaa wanaudhi sana barabarani mwendo wa kinyonga halaf kila kwny zebra wanasimama hata kama hamna mvukaji.

Sheria ya usalama barabarani ndio inataka hivyo mkuu sio maamuzi yao ingawa hapa Dar es salaam madereva wengi hawatii hii sheria.

Ila ukiingia mkoa wa pwani kwenda mbele huko ukivuka zebra bila kusimama hata kama hakuna pedestrian anayetaka kuvuka ujue hela itakutoka tu mkuu.
 
KUTATABHETAKULE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,669
2,000
Naomba niende moja kwa moja kwenye kero za madereva wa UBER, labda ni pekeyangu niliyoona hili kwa Hawa madereva, lakini nimeshuhudia Mara nyingi Sana kila siku, yaani wakikutangulia mbele wanatembea speed ya 10km/h, utakuta watu asubuhi wanawahi kazini traffic anaita magari kwa uharaka wao hilo hawajali. Mnaudhi Sana mnaendesha utadhani mnajifunza? Kuendesha mwendo wa kinyonga barabarani bila sababu ni kuwakosea watumiaji wengine.
Ukikodi Uber ikiwahishe sehemu afadhali uchukue Bajaj tu hawa Uber achana nao wachukue km hunaharaka vinginevyo unaweza mzaba vibao Dereva. Kunasiku nimeoanda Uber niwahi gongo la mboto, yule Dereva akaanza kulifuata nyuma Lori la taka ili njia ya airport wakati ni two way trafic.
Msipobadirika mtajikuta mnapaki vigari vyenu watu wanaamua kuchukua Bajaj tu au bodaboda. Mnakera Sana!
Ndo zao hizo. Kwa vile safari inalipwa kwa muda wanaotumia, basi spidi yao ni polepole sana. Tuwaombe malipo yafanyike kwa umbali wa safari husika. Ingawa hapo,na hasa kwa wageni, utazungushwa mjini ili safari ionekane ni umbali mrefu.
 
Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
12,814
2,000
Hili lako kidogo lina ukakasi, maana nimefanya hii biashara kidogo nimeona changamoto zake. Kwa kifupi, network na poor digitalization ya mji ni changamoto. Kwa wewe abiria kwa kuwa upo static, unaona movement ya gari kiurahisi tangu inapoanza safari hadi kukufikia, lakin kwa dereva anapata changamoto ya mtandao maana ramani inachelewa ku-update kiasi mara kadhaa utajikuta umeipita kona uliotakiwa kukata.

Ni rahisi zaidi kunavigate maeneo yaliyopangwa vyema na kuwa na majina ya mitaa na barabara kama Masaki kuliko kunavigate eneo kama Tabata au Msewe.

Kuhusu hili la kuendesha pole pole hawa jamaa ni kero kwa kweli.
Yeah true aisee ukiwa masaki haikosei hata kidogo,sasa mtu yupo tandika huko inakuwa tabu kidogo
 
Ernest lukindo

Senior Member
Jul 29, 2015
139
225
Chukua boda boda uwah ahera braza cc tutakukuta
Naomba niende moja kwa moja kwenye kero za madereva wa UBER, labda ni pekeyangu niliyoona hili kwa Hawa madereva, lakini nimeshuhudia Mara nyingi Sana kila siku, yaani wakikutangulia mbele wanatembea speed ya 10km/h, utakuta watu asubuhi wanawahi kazini traffic anaita magari kwa uharaka wao hilo hawajali. Mnaudhi Sana mnaendesha utadhani mnajifunza? Kuendesha mwendo wa kinyonga barabarani bila sababu ni kuwakosea watumiaji wengine.
Ukikodi Uber ikiwahishe sehemu afadhali uchukue Bajaj tu hawa Uber achana nao wachukue km hunaharaka vinginevyo unaweza mzaba vibao Dereva. Kunasiku nimeoanda Uber niwahi gongo la mboto, yule Dereva akaanza kulifuata nyuma Lori la taka ili njia ya airport wakati ni two way trafic.
Msipobadirika mtajikuta mnapaki vigari vyenu watu wanaamua kuchukua Bajaj tu au bodaboda. Mnakera Sana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom