Nchi hii ni ya makabila yote takribani mia na ishirini na kitu,pia serikali kupitia taasisi zake itoe elimu watu wachache waache uhuni na kujidai kuangalia kigezo cha elimu. hatupendi kuamini sana vigezo hivyo bila kuwepo uzalendo.hata hii taasisi ya michezo ijichunguze mwenendo wake
Nawatakia...
Nimekuwa na mashaka makubwa sana na mwenendo wa Taifa letu hasa suala la ukabila linaanza kushika mizizi kwenye sekta zote ni hatari sana, pia busara zitumike na hekima itafika mahali makabila madogo tena yasiyo na wasomi yakapoteza uhalali na umiliki wa taasisi mbalimbali.tujichunguze sana
Tutambue amewajibika hata kama hana kosa bado ataheshimika ndani na nje ya nchi. ila bunge letu lisitumiwe kama genge la baadhi ya wahuni wakijinasibu wanatetea wananchi wakati wao wametumia mbinu chafu kusaliti operesheni yenyewe.
No comment for these saga akumbuke marehemu Baba askofu Laizer aliwahi kusema wakati wa kumpokea mh Lowasa Monduli wakati amejiuzulu/ amewajibika(collective responsibility) alitahadharisha wanasiasa Lowasa ni sawa na kuni ambayo imeungua jikoni lakini ziko kuni nyingine zitaungua tu hata kama ni...
Kwanza tuwe na busara katika majimbo yaliyoakisi maendeleo haraka ni pamoja na Monduli.tatizo hatufanyi tafiti kuna jengwa hospitali ya kisasa,barabara zimejengwe, maji yapo na yametokea mbali arumeru magharibi, shule zipo kila kata tens zina mazingira bora na sio bora mazingira.Tusimhukumu mtu...
Bado tuna muda wa kutafakari na kufanya maamuzi sahihi. tatizo la wengi wetu tunafanya maamuzi wakati hamna tafakuri ya kutosha.kuchukua dola si lelemama tunahitaji watu makini tena na chama chenye haiba ya kweli si wapiga dili au wahafidhina kama makaburu waliomtesa Mzee wetu Madiba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.