Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
unaweza kua bosi sehem,mfano tuseme mjaluo,ukawateua watu wote wa chini yako kwa vigezo vyao vya elim kwa mfano,mwisho wa siku mko mia ofcn wote wajaluo ila mna sifa za hyo kaz,kikanuni mko sawa ila lazma watu watahoji iweje muwe wote wajaluo.
Kwa hiyo kama sifa wanazo wasipewe kwa sababu ya kabila zao??
Ina maana kazi ya kuteua watendaji imefanywa na Malinzi peke yake??
Huu mtazamo nahisi ni wa hatari sana...