Ujumbe huu ni muhimu sana ndugu zangu

Ujumbe huu ni muhimu sana ndugu zangu

Mshobaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
1,721
Reaction score
691
Habari zenu waungwana, mimi nikiwa mwanachama wa jf napenda kuchukua fursa hii kuwatakia kila la kheri wanajamii Forums wote popote mlipo kipindi hiki cha krismas na mwaka mpya muwe na mafanikio mema mzidishe juhudi katika kazi zenu ili mwaka ujao wa 2014 uwe wa kheri kwa kila mmoja wetu kama wewe ni member humu ningependa wote ujumbe huu uwafikie
 
Wadau wa huku tarakea/rombo twakutakia sikuukuuu njema pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom