Recent content by Grahams

  1. Grahams

    JamiiForums Tanzania Connection ya wa bongo movie, Waziri Gwajima isifike jioni hujasema lolote taifa linasubilia onyo kali

    Labda uishie round 1, kama zaidi unaweza kumuua huyo bibi 🤪
  2. Grahams

    JamiiForums Tanzania Connection ya wa bongo movie, Waziri Gwajima isifike jioni hujasema lolote taifa linasubilia onyo kali

    Hao unaweza kuwaua ukiwa shababi, ndiyo maana napenda mabinti sio hao age go 😅
  3. Grahams

    JamiiForums Tanzania Connection ya wa bongo movie, Waziri Gwajima isifike jioni hujasema lolote taifa linasubilia onyo kali

    Gari bovu huvutwa na zima, ndiyo maana Mimi na vigori wa 2000 ni kama uji na mgonjwa 🤪
  4. Grahams

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    🙏🙏
  5. Grahams

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Sahihi Mkuu
  6. Grahams

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    1/3 ya gross salary yako uliyostaafia
  7. Grahams

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Ukishafariki, hiyo 67 iliyobaki ndiyo imetoka hiyo Inakuwa ni faida kwa Serikali
  8. Grahams

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Okay, huenda hao wawili ilikuwa special case huko jeshini
  9. Grahams

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Vyovyote iwavyo, naye anakaribia kuondoka Serikalini kwa kustaafu Kwanza 2030 ataingia Rais mwingine ambaye ni lazima atamchagua CDF mwingine, huyo atakuwa amejichokea na miaka yake 62 huko
  10. Grahams

    JamiiForums Tanzania Fei ToTo ona aibu hii ya Azam 0-2 Simba. Huisaidii timu kwanini?

    Kama timu yao ilizidiwa na Simba siku Ile, yeye ndiyo angefanya nini? Huyo atang'aa wakicheza na TRA sio Simba sports club
  11. Grahams

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Sio kweli Mkuu, nimefanya masters na askari wawili hapo jalalani Elimu ni muhimu kwenye kila Idara ya Serikali
  12. Grahams

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Sina uhakika kuhusu hilo, nitafatilia
  13. Grahams

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Ndiyo maana wamekuwa hawana huruma kwa watu wao wa chini
  14. Grahams

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Na huo ndiyo mtihani wenyewe Hata utumie miaka 10 kumfundisha uzalendo mtu hivi sio rahisi kukuelewa
Back
Top Bottom