Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,025
Kuna jipya basiiii ... kitambo sana sijaona blessings zako do the needful pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzSijaona🙄 irudiwee![]()
Kuna jipya basiiii ... kitambo sana sijaona blessings zako do the needful pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzSijaona🙄 irudiwee![]()
Kumbe sio mara yake ya kwanza 🤣🤣Kwa huyu hakuna ubaya😁,kashazoea anapita kama alivyo.
Weee acha basi🤣🤣Best yake cocastic huyo😁,
Sawa sawaChat na picha
Nikipiga kapicha kapya nitashtua, sasa rudia hilo kukuu mimi nishapitwa mamaake!Kuna jipya basiiii ... kitambo sana sijaona blessings zako do the needful pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz
Huyu kazoea,haweki emoj Wala Nini😁Kumbe sio mara yake ya kwanza 🤣🤣
Bismillah MashaAllah 😍
Weee acha basi🤣🤣
Unaamini kweli ni yeye au anatoa picha fesibuku🤣Huyu kazoea,haweki emoj Wala Nini😁
Sijui hata yuko wapiEeh,angekuwepo coca anamchangamshaga😁
Nafurahi kukuona . Karibu kijiweni kwetuNipo hapa...
Usiwaze Ukija nistueNikipiga kapicha kapya nitashtua, sasa rudia hilo kukuu mimi nishapitwa mamaake!
Aiii kashingo katraamu mama'ake!😍
Santo sana. Nasubiri baraka zako nirare vizuri kitambo sanaAiii kashingo katraamu mama'ake!😍
Najikagua sioni itakayofaa kuanikwa hapa! 😄Santo sana. Nasubiri baraka zako nirare vizuri kitambo sana
Angalia angalia ivooivooNajikagua sioni itakayofaa kuanikwa hapa! 😄
Ni yeye,Unaamini kweli ni yeye au anatoa picha fesibuku🤣
Sijui hata yuko wapi
Sawa kipenziNi yeye,
Coca sijui kapotelea wapi.