Recent content by grace gallus

  1. G

    JamiiForums Tanzania Viti vya ofisini vinauzwa

    Weka picha basi tuone
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa CCTV camera

    Bei gani hiyo cctv jamani Nina kabiasgara langu nataka niwe naona
  3. G

    JamiiForums Tanzania Oral interview NHIF kupitia sekretarieti ya ajira leo tarehe 18/04/2018

    Waliuliza maswali gani
  4. G

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuitwa kwenye Usaili TRA yawekwa hadharani

    morogoro vipi mwenye majina Sent using Jamii Forums mobile app
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri Interview ya PPF

    kama ni hayo mmefaulu mi hata sikwenda kozi niliona ntaingia gharama tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. G

    JamiiForums Tanzania PPF Tanzania walitangaza nafasi za kazi mbalimbali mwezi wa sita, je wameita watu katika usahili?

    wababaishaji mi hata siendi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye interview MSD

    duuuh humu si kuna mtu alisema washafabya so hiyo kulikoni?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nilibadili kozi chuoni bila kumtaarifu mwajiri wangu

    mi nimesomea degree nyibgine tofauti na educatio n i hali ni mwal
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nilibadili kozi chuoni bila kumtaarifu mwajiri wangu

    naomba nitafute 0713832763 kesi yako yafanana n.a. yangu nikupe mwanga .siwezi kuandika ni vitu vingi sana
  10. G

    JamiiForums Tanzania Maelezo kuhusu tofauti kati ya LAPF na PSPF

    lapf n.a. pspf wanafunga fomula moja.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Maelezo kuhusu tofauti kati ya LAPF na PSPF

    ila kwa waliajiriwa 2014 kurudi nyuma kila ndiko ulikuwa n.a. fomula yake . kwa pspf unapata 50%kama lumsum.n.a. 50%monthly pension.ila fomula zinatofautiana kwa mifuko kwa wafanyakazi walioajiliwa 2014 kurudi nyuma
  12. G

    JamiiForums Tanzania Maelezo kuhusu tofauti kati ya LAPF na PSPF

    asnte nimewiwa kuchangia mada hii inanuhusu bcause ni mwaka social protection. kiufupi you mifuko ya hifadhi ya jamii kwa sasa yangu 2015atumia fomula moja kwa mifuko yote .n.a. fomula you inawahusu wale wote walioajiliwa julay 2015.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Biashara za kufanya kwa mtaji mdogo wa elfu 10 mpaka 50

    asante kwaushauri
Back
Top Bottom