Oral interview NHIF kupitia sekretarieti ya ajira leo tarehe 18/04/2018

nikiwahi kupiga interview UTUMISHI ya oral, sikuona swali nililokosa (kifupi maswali yooote nilikua nayajua) ila cha kushangaza nilifeli, ikabidi nirudi nyuma nijitafakari nijue wanataka nini
Wanaojiamini mara nyingi wanaferi huenda your overconfident wakaona utawasumbua kazini. Mimi nilijiona nimeferi maana maswali mengine nilikuwa nasema nimesahau na nimepata post ndo nimeanza
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom