Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 993
Ahsanteh mkuu check PM yakoDigoo DG-M1Q 960P 2.8mm Wireless Mini WIFI Night Vision Smart Home Security IP Camera Onvif Monitor
Kama unaweza kuipata hii ni nzuri sana na bei yake ni rahisi. Mimi naitumia.
Habari! Wakuu kama kichwa kinavosema hapo juu ombi lenu kwenu kama kuna wtaalamu waje na offer zao nina mteja anahitaji hii huduma,mazingira ya kufunga hiyo camera yako hivi ni Saloon ya room moja anahitaji ikifungwa awe na access nayo ili aweze kui monitor popote alipo hasa kwenye simu na Tablet,kazi ipo Dar Mtoni kijichi.
1.Inabidi aandae vifaa vipi na vipi ili kukamilisha hilo.
2.Aina gani itumike ya hiyo camera hata kama za mchina zipo sio mbaya pia na bei zake.
3.kama wewe ni fundi njoo na offer yako na mpango kazi mzima kama itakuwa bei inaridhisha utachukua kazi ila usiwe dalali.Ahsanteh
Pm(Mawasiliano mengine ni pale tutakapo kuwa tumepata vizuri)
Popote hata nje ya nchi utaweza kuitumia..Naweza pata brand name ya hiyo kitu mkuu na unaweza ukawa unai monitor umbali gani mfano upo kwenye mishe nyingine km kadhaa huko na huku ukawa na access nayo pia inawezekana kui fix mahali ambapo haiwezi onekana na mtu ovyo kwenye angle flani.Ahsanteh
Haha hapana almost anakuaga mwenyewe mzigoni ila tatizo hawa marafiki ndo wanaopiga nywele za bei ndefu lengo si kufatilia wateja wangapi wameingia hapana ishu na hawa viumbe.Naona anataka afunge biashara!
Je kuna msaada wa modem router utahitajika kama au je ni kitu gani kitaweza kurusha hiyo kitu kutoka eneo husika kuja kwenye simu maana wifi sidhani kama inaweza himili umbali mrefu hivo hapa ndo nataka fahamu kipi kitakuwa kinaunganisha hapo katiPopote hata nje ya nchi utaweza kuitumia..
Kulingana na majibu ya wadau cheap nyingi kwa ajili ya biashara za kawaida tu hzi ni kuagiza toka nje japo bado nahitaji majibu zaidi kuhusu ni vipi inafanya kazi endapo nitakuwa mbali na eneo ukiacha zile record ambazo nitazikuta nikirudi maana kama inatumia wifi sina hakika kama kuna wifi inasafiri masafa marefu ya hivo hili ndo swali ambalo lipo kichwani mpaka sasaBei gani hiyo cctv jamani Nina kabiasgara langu nataka niwe naona
Ushauri wangu mtafute mataalamu maana hata WiFi inavyofanyakazi naona uelewi na sio kosa kuto kujua maana hamna anayejua kila kitu. Lakini lengo lako la kutaka kupunguza gharama linaweza kukigharimu. WiFi mi source tu ya internet kama mtu anaweza fanya livestreaming kwenye social media na dunia nzima ikaona inakuaje WiFi isiweze fanya streaming ya cctv camera? Kwenye teknolojia kuna vitu tafuta expert utafanikiwa kuliko unavyotaka fanyaKulingana na majibu ya wadau cheap nyingi kwa ajili ya biashara za kawaida tu hzi ni kuagiza toka nje japo bado nahitaji majibu zaidi kuhusu ni vipi inafanya kazi endapo nitakuwa mbali na eneo ukiacha zile record ambazo nitazikuta nikirudi maana kama inatumia wifi sina hakika kama kuna wifi inasafiri masafa marefu ya hivo hili ndo swali ambalo lipo kichwani mpaka sasa
Ubarikiwe boss,japo hujatoa jibu umeonyeshwa umwamba wako kwenye tecknology pia nimeleta hapa naamini kuna wataalamu kama ninyi ndio maana sikupeleka kwingine I stand to be corrected.AhsantehUshauri wangu mtafute mataalamu maana hata WiFi inavyofanyakazi naona uelewi na sio kosa kuto kujua maana hamna anayejua kila kitu. Lakini lengo lako la kutaka kupunguza gharama linaweza kukigharimu. WiFi mi source tu ya internet kama mtu anaweza fanya livestreaming kwenye social media na dunia nzima ikaona inakuaje WiFi isiweze fanya streaming ya cctv camera? Kwenye teknolojia kuna vitu tafuta expert utafanikiwa k3uliko unavyotaka fanya
lengo lake hasa ni lipi? je anataka aone tu au ahifadhi hayo matukio? kama anataka kuyahifadhi inamaana storage ni kitu cha kuangalia, hata kama inaingia memory card hio camera itahitaji ku support micro sd xc ili uweze kuweka memory card kubwa zaidi.Mkuu busara zako zinahitajika hapa kwakweli
Chief-Mkwawa
lengo lake hasa ni lipi? je anataka aone tu au ahifadhi hayo matukio? kama anataka kuyahifadhi inamaana storage ni kitu cha kuangalia, hata kama inaingia memory card hio camera itahitaji ku support micro sd xc ili uweze kuweka memory card kubwa zaidi.
pia itabidi na quality aspecify, kama shida ni kuhesabu watu tu quality ndogo za 240p au 360p zinafaa ila kama anataka kuwatambua hao watu au kuangalia details nyengine muhimu itabidi iwe ni camera yenye uwezo wa kuchukua sd au HD kupanda.
vyengine ni kama Infrared (kuangalia usiku), ikubali wifi nzuri au kama ni mobile data ikubali 4g band zetu za kitanzania, iwe na wide lens ili iweze kuchukua eneo pana zaidi, ikiwezekana kama budget inamruhusu iwe hata na sensors mbalimbali kwa ajili ya matendo mbalimbali.
kupatana naziona ila sina uzoefu na ubora wake zinazouzwa hapa Bongo. unaweza ukaingia ukasearch cctv.
mkuu hebu angalia hii videoPendekeza maja wapo hapa ambayo inaweza fanya hivo vitu mkuu
1.Xiaomi Mi Xiaobai Intelligent Webcam Populaire Version 360 Angle 720 P HD de Vision Nocturne Sans Fil Wifi IP Webcam Smart Home Cam Chuangmi de la boutique en ligne | Aliexpress mobile
2.Digoo DG-M1Q 960P 2.8mm Wireless Mini WIFI Night Vision Smart Home Security IP Camera Onvif Monitor - Banggood Mobile
3.ALIEXPRESS: Original Xiaomi Mi Mijia 1080P Smart ip Webcam 130 Degree 2.4G/5G Wi-Fi 10m Infrared Night Vision NAS Mic Speaker Home Cam
Original Xiaomi Mi Mijia 1080P Smart ip Webcam 130 Degree 2.4G/5G Wi Fi 10m Infrared Night Vision + NAS Mic Speaker Home Cam-in 360° Video Camera from Consumer Electronics on Aliexpress.com | Alibaba Group
Ahsanteh
mkuu hebu angalia hii video
jamaa amerecomend dafang kwa 360p camera, ambayo ina uwezo wa kuzunguka na kuangalia pande zote.
ila nna wasiwasi, hizi hazina battery, mnakabiliana vipi na umeme wa Tanesco ukizima? ama mtazinunulia power bank