MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,039
- 855
HABARI wanabodi,
Ndugu XXXXXXX, MSD inakukaribisha kwenye usahili kwa nafasi uliyoomba ya Administrative Officer itakayofanyika siku ya Jumatano tarehe 14/6/17 saa 3:00 asubuhi shule ya Sekondari Chang'ombe ndani ya DUCE, Dar es Salaam. Tafadhali fika na kitambulisho chako. Gharama za usafiri hazitarudishwa.
Kwa maelezo zaidi piga +255 22 2860890/7
KAMA UJUMBE UNAVYOJIELEZA, nilitumiwa huo ujumbe jana jioni, shida yangu ni msaada wa majibu ya maswali yafuatayo kwa ambao mmeshafanya interview na MSD kwa kada nyingine
1. Je shortlisting yao kwa makadirio ni chini ya applicants 100, au zaidi ya 100 au maelfu kama waajiri wengine wa SERIKALI wanavyofanya.
2. Ni aina gani ya maswali wanauliza, je ni general knowledge questions au ni specific kwa kada husika, pia sample ya maswali kama unayoitakuwa vema
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI,