Recent content by GossipGirl

  1. GossipGirl

    Wanawake wenye hips na mapenzi

    kifuani atakua hatofautiani sana na mm! sema kanizidi kidigo tu kw ukubwa ..........
  2. GossipGirl

    Huu mwili sio ndugu zangu, nisaidieni mawazo

    usihangaike mkuu pengine umenenepa kw ndani.
  3. GossipGirl

    Wako wapi wanaMMU hawa?

    watu kw kujipa promo wenyewe!"
  4. GossipGirl

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    vipi jaman king didier atakua majeruhi nn?
  5. GossipGirl

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    i just remember dat moyes won only Community shield last season
  6. GossipGirl

    Kinachonikera katika filamu za Jacob Stephen (JB)

    dah! umeniwahi nilitaka kusema the same, halafu muvi hazipo reality, wanaact kwnye mijumba na magari y kifahari. inaboa.
  7. GossipGirl

    Nauli Dar mpaka Mbeya

    hivi nipo jukwaa gani?! embu ngoja niangalie kwanza nitarudi.
  8. GossipGirl

    Msaada: Jinsi ya kuandika barua ya kikazi

    ok. binamu, ngoja niwapotezee nicje kichwa kikaniuma buree.
  9. GossipGirl

    Msaada: Jinsi ya kuandika barua ya kikazi

    kuomba ushaur sio kwamba kila kitu sikijui; kunauwezekano najua vitu vingi kuliko hata ww, na hii ni faida pia kw watu wasiojua. halafu acha kukariri siyo kila anaetafuta kazi hana kazi.
  10. GossipGirl

    Msaada: Jinsi ya kuandika barua ya kikazi

    nashukuru kusikia uko poa!", ......... hahahaha! kw hali hii mwakani wataongeza mpaka div 6!
  11. GossipGirl

    Msaada: Jinsi ya kuandika barua ya kikazi

    asante sana mkuu duet ubarikiwe sana, mi nilishazoea hizi za direct basi majanga snura kabisa.
  12. GossipGirl

    Msaada: Jinsi ya kuandika barua ya kikazi

    yaani dada Dena cjui mijitu mingine ipo vipi, bora wangezaliwa miti tu tujue tutapata vivuli na matunda.
  13. GossipGirl

    Msaada: Jinsi ya kuandika barua ya kikazi

    Achana nae huyo! mpuuzi ........... binamu mzima ww?
  14. GossipGirl

    Msaada: Jinsi ya kuandika barua ya kikazi

    umeandika nn hapa sasa?
  15. GossipGirl

    Msaada: Jinsi ya kuandika barua ya kikazi

    hakuna ambaye hajafundishwa ila nikusahau tu! we umemaliza juzi kwenye BRN ndio mana bado unakumbuka, wengine tumemaliza kitambo.
Back
Top Bottom