Kinachonikera katika filamu za Jacob Stephen (JB)

Kinachonikera katika filamu za Jacob Stephen (JB)

Elimu.....

elimu ndogo sana inawasumbua wana bongo movie!

wengi wao ukiangalia hawajaenda shule, wanawake wanaishi kwa kukimbizana na waume za watu na kujiuza..

Soko la bongo movie halina stability, hakuna aliyewahi kufanya esearch na kuleta data juu ya uhai wa soko...

Sisi bado sana, serikali ya NIGERIA inatoa pesa nyingi sana ku-finance filamu, kwa sababu tu wameona inasaidia kupunguza tatizo la ajira..

kwa bongo hii utoe pesa kuwasaidia hawa, utampa nani?
 
Kuandaa film ni zaid ya kukaa mbele ya kamera. Kunatakiwa uwe na team mahususi kukuweka pale. Unawaachia wao wanafanya kile kinachotakiwa. Sasa bongo muvie hata costume director hana. Anajiendea kama alivyo then anashoot hvyohvyo. Wengine nasikia hadi kwa simu wanarecord. Bora tubaki na kina denzel
 
Rip uncle jay jay kanumba the great...sanaa imekufa huku
 
Sinaga hamu yakuangalia movie zetu kwakweli

mi huwa navutiwa sana na commercial advertisings, njoo kwenye movie sasa! utatamani ukaombe chenji yako ulikonunua hiyo DVD ama CD yao...!

unaikumbuka ile movie ya FOOLISH AGE?

dadeki, nilikuwa na hamu ya kuiona kinyama, si nikajimuvuzisha dukani, nikavuta CD yake! kuja kuangalia, too much pilipili....!
 
Hivi kumbe humu ndani BD mnangaliga haya ma bongomovie ccm
 
hili ni tatizo la kila kitu kufanywa na mtu huyo huyo mmoja, mfao utakuta: script: JB, director: JB, sound: JB, mtunzi: JB, sound: JB, etc:JB
Ukiacha hilo kuna kimoja huwa nakiona kwenye maandishi ambayo huwa wanaandika kiingereza kutafasri maneno wanayoongea,huwa ni shida anaweza sema jingine na likaandikwa jingine kabisa mfano:

leaving inakuwa living.
Urgently-agently.
Heard-head.
Said-sayid.
Huwa najiuliza,huwa hawazifanyii uhakiki kazi zao hizi? Sababu sijawahi kuangalia movie ya kibongo ikakosa kosa kama hilo!
 
Kanumba hakuwa mwigizaji mzuri sana, lakini alikuwa mbunifu sana kiasi kwamba utapenda tu kuangalia movies zake. Alikuwa akishirikisha nyota wa nje kama Nigeria na kwingineko. Lakini hawa waliobaki, hawaoni mbele, maogizo yamekuwa kama ya kujipikilisha ya watoto.
 
mi huwa navutiwa sana na commercial advertisings, njoo kwenye movie sasa! utatamani ukaombe chenji yako ulikonunua hiyo DVD ama CD yao...!

unaikumbuka ile movie ya FOOLISH AGE?

dadeki, nilikuwa na hamu ya kuiona kinyama, si nikajimuvuzisha dukani, nikavuta CD yake! kuja kuangalia, too much pilipili....!

Hahahaha nimecheka sana hiyo movie siijui ila jina ya movie imenichekesha nakuimagine ni kipi kiliigizwa humo ndani
 
Hahahaha nimecheka sana hiyo movie siijui ila jina ya movie imenichekesha nakuimagine ni kipi kiliigizwa humo ndani

yani movie ni foolish kama jina lake... so foolish!

i am one among bongo movie actors, ila imenibidi nichepuke kwanza na elimu, huko sio mpango kwa sasa kabisa!
 
Hapa nasafiri kutoka Lindi nakuja Dar, filamu inayoonyeshwa ni ya JB na anaelekea kumwoa Shamsa.

Ha ha ha ha kuna na ile wame act na mzee majuto na shamsa ya big boss hadi ina bore mana unajua mwishoni nini kitatokea
 
yani movie ni foolish kama jina lake... so foolish!

i am one among bongo movie actors, ila imenibidi nichepuke kwanza na elimu, huko sio mpango kwa sasa kabisa!

Hebu twende pm fasta ukaniambie wewe ni nani vile????
 
Watu mnajifanya wachambuzi makini na mnajua sana kuhusu movie,lakini kwenye tasnia yenyewe hampo
 
Bora niangalie siri ya mtungi kuliko bongo movie ...
 
hili ni tatizo la kila kitu kufanywa na mtu huyo huyo mmoja, mfao utakuta: script: JB, director: JB, sound: JB, mtunzi: JB, sound: JB, etc:JB

dah! umeniwahi nilitaka kusema the same, halafu muvi hazipo reality, wanaact kwnye mijumba na magari y kifahari. inaboa.
 
Mkuu sisi ndio walaji, hivyo lazima tuseme radha ipoje?
Watu mnajifanya wachambuzi makini na mnajua sana kuhusu movie,lakini kwenye tasnia yenyewe hampo
 
dah! umeniwahi nilitaka kusema the same, halafu muvi hazipo reality, wanaact kwnye mijumba na magari y kifahari. inaboa.
hayo maisha ya kuigiza kifahari ndio yanawaingiza kwenye biashara ya upunda,na kuhongwa vitu vya ajabu na kuwafanya kuendelea kuishi maisha ya artificial
 
Mimi sio mpenzi sana wa kuangalia filamu, ila mara chache tu huwa naangalia hasa kwenye mabasi ninaposafiri.

Kitu kinachonikera kwenye hizi Bongo movie hasa za JB ni kutumia wahusika wale wale na theme ile ile mwisho ana bore sasa.

Mfano ni huyu Shamsa Ford, huwezi kuangalia picha ya JB usimkute, tena kwenye filamu hiyo lazima ataishia kuolewa na JB.

Ni kweli Shamsa ni mzuri, lakini kwani yuko pee yake kwenye filamu?

Halafu kwa nini theme iwe mapenzi tu?

Nachoka kabisa

Bongo movie kaondoka nayo KANUMBA
 
Back
Top Bottom