Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
- Thread starter
- #21
Usijari mkuu.
Soon ntakupeni mautamu mengine yaliyonipata huku niliko.
Sawa. Ukiyaweka nicopie...pamoja kaka
Usijari mkuu.
Soon ntakupeni mautamu mengine yaliyonipata huku niliko.
thx!!!!Sawa. Ukiyaweka nicopie...pamoja kaka
Duhh,we kiboko,yani umenigoogle ki-JF loh!!!
Dah!Hiviii.. kati ya kiboko na huyo aliyekugoogle ki - JF nani kiboko..???
utakuta wapo sana tu ila ndo hujui kama ni wenyewe....
nasikia jf ina watu 500 tu
Mi sikushiriki kwenye hayo mashindano ya viboko.... sasa ushindi naupateje?Dah!
Yani ww ndio kuboko zaidi!!!
utakuta wapo sana tu ila ndo hujui kama ni wenyewe....
nasikia jf ina watu 500 tu
Hahahahahaha lol!!!! Umesikia wapi ES!? hahahahah Dah!!!! una maneno weye!!!!
inawezekana pia unaweza kuwa wewe mwenyewe mtoa mada
Mbavu zangu mie ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaujui kuwa wanawake wakisha banjuliwa umu wanabadili id..
Hahaha! watu wana log off halafu wana log in id nyingine.
inawezekana pia unaweza kuwa wewe mwenyewe mtoa mada
Kwi kwi kwi kwi Mkuu kwahiyo anajipa stata mwenyewe
Au anaweza akawa ndo wewe! Na wewe sasa unadhani ye ndo mimi. Yaani, duh! Hii ishu ya IDs ishakuwa balaa. Unaweza ukawa unabadilishana mawazo na IDs kama 10 hivi kumbe kiukweli mko 3 tu. Hamna 'kuaminiana' kabisa. Ni kama unapigana na mtu gizani, yeye kavaa night vision glasses wewe mtupu. Hujui atakubamiza wapi hata!