Recent content by Gosheni

  1. Gosheni

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Waweza nisaidia contact za hiyo hospitali india?
  2. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

    Ki ujumla hata kama ni kweli panaweza pakawa na up upungufu wa mafuta, mkurugenzi hakupaswa kutamka maneno hayo mbele ya umma. Hii ni kuleta taharuki isiyo kuwa na sababu. Upo uwezekano shida ikajitokeza muda sio mrefu, watu watapanick na kuanza kujilimbikizia hata wasivyo hitaji.
  3. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Nauza vitunguu maji zaidi ya gunia 80

    Hapo Dumila ni matapeli, wanamtandao mkubwa sana wa wizi. Natoa onyo, hao ni wezi.
  4. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Hii Ndoto imenisumbua sana leo

    Å
  5. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Hii Ndoto imenisumbua sana leo

    Hiyo ndoto siyo nzuri kwako. Fanya maombi ya kufunga kukataa roho ya mauti juu ya maisha yako, kataa roho ya kukataliwa. Tafuta msaada kwa mtumishi wa Mungu aliyesimama vizuri kiroho. Usiipuuzie hii ndoto, ifanyie kazi.
  6. Gosheni

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Msemaji wa Jeshi la Polisi ashambuliwa na raia kwenye mazishi ya ASP Kirumira

    Pole na udini wako, mwaka huu kuna ofisa mkubwa wa polisi aliuwawa, Kama mwezi mmoja umepita kuna mmbunge aliuwawa kote huko Uganda
  7. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Kuna hoja nyingi za kutokukubaliana na Dr. Nchemba

    Big up! Wanatuchezea akili tu.
  8. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tuamue kuchukua demokrasia yetu badala ya kusubiri kupewa

    Nani atakae waua? Kumbe mnaona raha kuua wenzenu? Kwa kosa lipi hasa walilofanya? Ajabu ni kwamba hakuna atakae ishi milele, endeleeni kujidanganya na kujiona miuungu.
  9. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Nadiriki sema mtoto wa kike hana faida. Tumtegemee kwa mengine ila si kimsaada kwenye familia yake

    Hilo ni kosa la wazazi wenu hawakujua namna ya kuwaunganisha. Jitaidi hali hiyo isije tokea kwa watoto wako, si jambo la kujisifia. Pia yaonyesha namna umeshindwa kusimama na kuunganisha familia.
  10. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Taifa linaelekea pabaya sana

    Ninaposoma hii story majihisi machozi kunitoka, japo inaweza kuwa ya kutunga. Una dhani kwa nini mimi nisiiamini hii story? Tunaona watu wanauwawa, tuna ona chaguzi zilizopita namna watu walivyofanyiwa, bado kiongozi anaweza kisimama hadharani bila woga wala aibu anatamka mambo ambayo labda...
  11. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Nani alaumiwe endapo CCM itashinda jimbo la Kinondoni na Siha?

    Umeongea vema mtoa mada, kati ya vitu vitawaumiza chadema ni kushiriki huu uchaguzi ilihali walishasema hawata shiriki kwa sababu walizotoa. Mimi ninawaomba wasiwambie wananchi kwenda kulinda kura. Watakapo fanyiwa rafu wasilalamike.
  12. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Tuongee asubuhi na Albert Msando! Mada: Hama hama ndani ya vyama vya Siasa. Je, ni kukua kwa demokrasia au ni rushwa?

    Sijui ni kuogopa kuadhibiwa kama Lisu na serikali au ni njaa ambayo inawasumbua. Nachoona unasumbuliwa na njaa, kama ingekuwa ni uoga ungenyamanza kimya, wala hakuna ambaye angekufuata. Msiidhalilishe taaluma ya habari kiasi hicho.
  13. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Nawaandikia wapinzani, yaani vyama vyote vya upinzani hapa Tanzania

    Nia yenu ni kutoa kafara za watu,acha kuwaza kwa kutumia tumbo. Hii ndio shida ya kuwa na waandishi waganga njaa. Mtu na akili zako timamu unaweza ukashauri upinzani kushiriki uchaguzi katika mazingira haya? Nieleze ni lini ulienda kulinda kura za upinzani, ukinieleza, nitajua unamaanisha, la...
  14. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Nimefilisiwa na TRA, sijui hata maisha yataendaje na nina watoto wadogo

    Pole sana kaka, mwamini Mungu atakuonyesha njia ya kutokea.
  15. Gosheni

    JamiiForums Tanzania Nitawashangaa CHADEMA kushiriki chaguzi zinazokuja.

    Ninania ya kuwasilisha kinacho nikereketa, japo sipo vizuri ila natumaini mtanielewa. Tmeshuhudia namna chaguzi za 26nov zilivyoendeshwa na kufanyika pamoja na kisimamiwa. Kwa namna nilivyoutathimini uchaguzi huu ni sawa na pambano la mabondia ulingoni, bondia mmoja kafungwa kamba mikono na...
Back
Top Bottom