Nauza vitunguu maji zaidi ya gunia 80

Nauza vitunguu maji zaidi ya gunia 80

Mimi sikushauri ndungu yangu kuhusu hiyo biashara kuwapa madalali,MADALALI walinisumbua sana,labda nikushauri hivi kama unaeneo la kuweza kuyaweka ili yakauke kusudi usipate huaraka wa kuyauza ndo hapo utaona ela yako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto ya kuifadhi yanakauka yananywea kilo zinapungua na vingine huwa vinaoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimo kina changamoto sana.Kuna watu hapo dar ni wataalam balaa.Akilipiga tu anakwambia bichi ama bovu.Na ukibisha wanalikata na kweli bichi.Walizipembua balaa na bahati mbaya nafika nakuta mzigo wa tikiti umemwagika balaa.So Tikiti kubwa niliuza 2000tsh ziko ambazo niliuza hadi jero.
Kwa Haikufika hata laki9.Kwa hasira nakaweka pesa yangu takoni nikaangia bar nikagonga bia siku kadhaa mpaka ikaisha nikarudi mikono mitupu nikaanza moja..

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! Aisee pole kweli hizo changamoto! Na kweli kuna wataalam wakipiga tu tikiti wanajua hata kabichi juzi nilishuhudia sokoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimo kina changamoto sana.Kuna watu hapo dar ni wataalam balaa.Akilipiga tu anakwambia bichi ama bovu.Na ukibisha wanalikata na kweli bichi.Walizipembua balaa na bahati mbaya nafika nakuta mzigo wa tikiti umemwagika balaa.So Tikiti kubwa niliuza 2000tsh ziko ambazo niliuza hadi jero.
Kwa Haikufika hata laki9.Kwa hasira nakaweka pesa yangu takoni nikaangia bar nikagonga bia siku kadhaa mpaka ikaisha nikarudi mikono mitupu nikaanza moja..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahah umeniacha hoi kweli....

Perimeter njoo hapa
 
Hapo Dumila ni matapeli, wanamtandao mkubwa sana wa wizi. Natoa onyo, hao ni wezi.
 
Back
Top Bottom