Hii Ndoto imenisumbua sana leo

Hii Ndoto imenisumbua sana leo

Hiyo ndoto siyo nzuri kwako. Fanya maombi ya kufunga kukataa roho ya mauti juu ya maisha yako, kataa roho ya kukataliwa. Tafuta msaada kwa mtumishi wa Mungu aliyesimama vizuri kiroho. Usiipuuzie hii ndoto, ifanyie kazi.
shukrani kwa ushauri mpwa ngoja nianze kufanyia kazi, ubarikiwe
 
Inabidi ufanye maombi pindi tu unapomaliza kuota na unaanza kukataa ajali na kifo kwako, ndugu, jamaa, marafiki. Bila hivyo utapata janga wewe au ndugu na jamaa
ameen kaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom