Recent content by Goodnes

  1. G

    Nauza mikanda ya kupunguza tumbo

    Picha tafadhali
  2. G

    MwanaJF mwenzetu kavamiwa na wezi na kukatwa katwa Mapanga

    Pole sana ndugu Motochini.M/Mungu akujalie kupona haraka.
  3. G

    Happy birthday Halima J.Mdee

    Happy birthday dear Halima,nakutakia maisha marefu yenye mafanikio zaidi.
  4. G

    I love u mama

    I love you so much my lovely mama
  5. G

    Picha za maafa ya mvua Kahama

    Poleni sana wafiwa na wote mliopatwa na maafa,
  6. G

    Imeniuma sana, vijana tuwaheshimu mama zetu

    umeongea point sana,kwakweli siwezi kumchukia mzaa chema no matter what,nitachukuliana nae tu,naomba Mungu anisaidie.
  7. G

    Imeniuma sana, vijana tuwaheshimu mama zetu

    Inasikitisha sana,mkuu msaidie Jiran yako Kwa kumtafuta private uongee nae Kwa utaratibu umsaidie kugundua kosa lake kisha mshauri akamuombe msamaha mama yake kabla haijawa too late akajajuta maisha yake yote.Nakupenda sana mama...
  8. G

    Pendekezo thabiti la Jinsi ya Kukomesha mauaji ya Albino

    Ewe M/Mungu mwingi Wa rehema,uliyejaa huruma na upendo,wewe uliye muumbaji Wa wote,tunakuomba uwalinde ndugu zetu wenye ulemavu Wa ngozi, dhidi ya wauwaji simama uwatetee wewe uliye mtetezi Wa wanyonge,uweza na nguvu zako ni kuu kuliko za wachawi na waganga wanaotumia viungo vyao kishirikiana...
  9. G

    Tanzia: Moto waua watu sita Kitunda, Apona mmoja tu aliyekuwa matembezini usiku!

    Inasikitisha sana kwakweli,poleni sana wafiwa.M/Mungu awape uvumilivu
  10. G

    Mzee Kigwangalla afariki Dunia huko India 8 Feb 2015

    M/Mungu awape faraja na kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu...poleni wafiwa wote.
  11. G

    ISIS wamchoma akiwa hai rubani mateka wa Jordan

    Yaani inahuzinisha sana kwakweli,
  12. G

    Nina furaha moyoni

    Haaahaa umenifanya nicheke sana..
  13. G

    Happy new year JF photos fans n all others

    Happy new year to you mkuu Mshana jr,na kheri ya mwaka mpya Kwa wana jf woteeee.
  14. G

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Hongera mkuu,hatua nzuri,M/Mungu akuwezeshe kumaliza palipobakia.God is able.
Back
Top Bottom