Mkuu mengine kausha,kumefiwaHuyu ni mzee bagaile sio kingwangala
Kimbunga umekuja kutoa pole,au kuleta mnakasha!mara urais,mara kulekezwa...nadhani jikite kwenye kutoa polePole mheshimiwa Dr. Kigwangala kwa kumpoteza mzee wako wakati huu ukiwa katika harakati za kugombea urais. Naamini mzee wako alikuwa mshauri wako katika mambo haya ya kisiasa.
kumbe ile habari iliyowahi kuwekwa humu kwamba Mh. Kigwangala kamteleza baba yake haikuwa na mashiko, si ndio yeye alimpeleka India kwa matibabu. Sasa kama alimtelekeza imekuwaje ampeleke kutibiwa.
Mkuu kwanza nilikuwa na maana ya kutelekeza siyo kuteleza! Nimetoa pole na kukumbushia tu ile habari ambayo ilileta mnakasha humu jamvini. Tunakumbushana tu wakati huu wa majonzi.Kimbunga umekuja kutoa pole,au kuleta mnakasha!mara urais,mara kulekezwa...nadhani jikite kwenye kutoa pole
Duh! Jamaa unazingua,mi nilifikiri Dr Kigwangalla! Mb wa Nzega
Pole mheshimiwa Dr. Kigwangala kwa kumpoteza mzee wako wakati huu ukiwa katika harakati za kugombea urais. Naamini mzee wako alikuwa mshauri wako katika mambo haya ya kisiasa.
kumbe ile habari iliyowahi kuwekwa humu kwamba Mh. Kigwangala kamteleza baba yake haikuwa na mashiko, si ndio yeye alimpeleka India kwa matibabu. Sasa kama alimtelekeza imekuwaje ampeleke kutibiwa.