Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Mimi naishi Arusha. Ya Kinyerezi yananihusu kweli?
Msalani wewe ni kati ya wapambanaji wakuu wa ccm,haiwezekani matokeo mabaya au mazuri ya ccm husiyafuatilie.
Mimi naishi Arusha. Ya Kinyerezi yananihusu kweli?
Mimi naishi Arusha. Ya Kinyerezi yananihusu kweli?
haah,haah mtu anakula na anaoga JF asijue Chadema inavoibutua CCMMussa allan toka asubuh nilikuwa sijacheka nimecheka sana.aisee msalimie kamanda Lema bana useme tena upo safarini Tabora huwezi mwona.
Hongera kwa kuwafananisha,umeyapata matokeo ya chaguzi ndogo kinyerezi?
mkuu ni mashosti sana tena wa muda mrefu
Vipi mkuu...UNataka kutotolesha?? SubiRi amalize kazi tuliyomtuma wa kawe!!!ok??hbd madame
Mimi naishi Arusha. Ya Kinyerezi yananihusu kweli?