Recent content by Good Robert

  1. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajizatiti ngazi ya Uongozi katika Vyuo Vikuu mbalimbali nchini

    Mbona almost wote ni wachaga!!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

    Sijakubaliana nawe,point ni kwamba kila sehem wapo wazuri na wabaya pia,na Malaya wapo sehem zote
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mpenzi alichepuka, anataka kurudi.

    Endelea na kazi zako, usimruhusu kabisa, zaidi msamehe ila mwambie aendelee na maisha kwingine
  4. G

    JamiiForums Tanzania Je huu ni upendo wa dhati?

    Kwanza omba Mungu ili umfaham zaidi, huwezi faham sababu za wale wengine kumuacha,maana hawezi sema
  5. G

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazo sababisha ndoa nyingi kuvunjika

    Very true,lakin sababu ya msingi kabisa, ni kutokuwa na maandalizi msingi wakati wa uchumba
  6. G

    JamiiForums Tanzania Sababu nyingine katika mapenz hua haziingii hata akilini

    Be firm to your decisions
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake zinazokera wanaume lakini hawasemi

    Ndivyo walivyo, hivyo kwa kuwa umewafaham, piga kazi, mhimu ni uvumilivu na kudeal nao kwa akili
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanadada wa humu JF soma hii na uelewe

    Ushauri mzuri ila pia kwa wanaume unafaa
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe mke wa pili

    Omba Sana huyo pepo akutoke, la sivyo utakuja jichukia baadae Sana, uliza wakueleze
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa mgombea Ubunge Eldoret-Kenya watekwa na kuuawa Kenya

    Alaaniwe aliyefanya hicho kitendo, sasa watoto ndio baba yao
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nani kapita hapa?

    Ndanda High School
Back
Top Bottom