Mrejesho: Mpenzi alichepuka, anataka kurudi.

Mrejesho: Mpenzi alichepuka, anataka kurudi.

If you've never been cheated on, it's easy to say you would immediately dump your partner if she was unfaithful. But in reality, things are not always that black and white. Feelings of love don't instantly disappear no matter how angry, disappointed, hurt and betrayed someone might feel. And while infidelity destroys many relationships, some couples are able to overcome it....sasa hatujui mkuu upo side ipi maana it seems bado upo upo side ya huyo chick
[emoji54][emoji54]nimepata misamiati mingi hapa [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Tatizo lako kubwa ni kuwa na mwanamke mmoja na kumkabidhi moyo wako wote.. We utaishia kulia lia tu kila siku. Ungekua na michepuko walau miwili nje ya huyo wala usingeugua kwa kuachwa, tena ungefurahi maana ungekua umepunguza matatizo.. Na huyu anaendelea kukuchezea maana unaonekana tangu akuache umebaki umebung'aa tuu wala hujapata mwanamke mwingine.. Mkuu wanawake wengi wa siku hizi (hasa wale wazuri wazuri) ndio walivyo inabidi uwazoee na wewe ujiongeze. Huu ni ushauri wa hovyo kabisa lakini ndio maisha yetu yalipofikia..
 
Mwambie ukweli tu kwamba humuhitaji , kuliko kumpotezea mda
 
wasalaam wanajamvi, miezi kadhaa imepita tangu nije hapa. mpenzi wangu alichepuka akanisahau,akanitupa kule. kiukweli niliumia sana, ilifika kipindi mpaka nilikuwa naugua yaani, ndugu msomaji huwezi kuamini kila nikimkumbuka nahisi nyongo inataka kunitoka.

kilichonileta hapa leo, kwa sasa nimeanza kupona majeraha, nimeanza kuzoea maisha bila yeye, cha kushangaza ameanza kurudi sasa. kunitafuta mara kwa mara, kunisalimia , kuna kipindi najikuta nawaza sijui niendelee kumtawanya tu halafu nimwache njia panda ( yaani najifanya nimerudi kiukwel ukweli akikolea na kuharibu kule ndo namtupa kule) , Au nawaza nimjibu vibaya ili imuume mpaka baasi...., najikuta nipo njia panda kuamua nimfanye nn huyu

Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha
Piga rungu hadi utamu umkolee na ahisi kuwa mko poa kabisa
then unampiga kibuti matata.
Payback.
 
Piga rungu hadi utamu umkolee na ahisi kuwa mko poa kabisa
then unampiga kibuti matata.
Payback.
Huyu jamaa yako ujanja huo hana.. Angekua anao wala asingekua anahangaika hapa. Huyu bado anamtaka huyo mwanamke pamoja na yote na hapa tunapoongea inawezekana yeye ndio anamlilia manzi warudiane sema anatuzuga tu kwamba manzi ndio anamtaka..
 
hahaha si kihivi mkuu though kuna karoho kakumpenda kweli, siyo kwamba sipati ishu lakin.., ishu napata tu...
 
Huyu jamaa yako ujanja huo hana.. Angekua anao wala asingekua anahangaika hapa. Huyu bado anamtaka huyo mwanamke pamoja na yote na hapa tunapoongea inawezekana yeye ndio anamlilia manzi warudiane sema anatuzuga tu kwamba manzi ndio anamtaka..
Ila mkuu mimi huwa dem akisema tu ananiacha, nitamlilia kinoma ila akiniachia tu papuchi naipiga kinoma. Afu tukimaliza mi ndo namuacha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza pole kwa kuteseka ila nakushauri uachane nae kabs tena usiwe na hata chembe ya huruma kwa kuwa alivokuacha hakuwaza kama unaumia pia huwez jua hko alikokuwa kafanya mambo gani kuwa makini sana anaweza kukuletea magnjwa shetani huyo.. kmbka hakuna shujaa wa mapenz wapo mashujaa wa vita tu so kubali lawama kuliko fedheha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom