JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Elimu ya Rais Uhuru
Kwel nimepata mwanga na kuweza kumfahamu Rais Uhuru na utajiri alio nao zaid ya $500million na anamiliki ardhi safi ya kilimo zaidi ya asilimia 8.6 (500,000) ya jumla ya arable land yote kenya ambayo ni hekari 5,800,000. Huyu ni mtu tajiri sana wala mshahara wa urais hauna maana kwake. Nimepata...