As Tanzanian Government is waiting for Arabs to build Stadium for them, County Government of Mombasa is building this huge stadium using its own money

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
19,160
15,428
Kenyan County governments are more efficient than the central government of most nations. Let`s take an example with Tanzania and Mombasa, the Magufuli government is depending on the Morrocan Government to build Dodoma stadium while Mombasa stadium is getting built without even the help of the central government. This shows how devolution has been a game-changer in Kenya. Let`s see what is cooking in county 001.

EF-CojBWwAEiE_8.jpg

Teargass,

Buda, hatukumuomba Mmorocco akuje kujenga stadia. Alikuja mwenywe n akaahidi kujenga the biggest mosque in eac ambayo ameshajenga n stadia ambayo cjui progress yake.

Hii project ya Kenya kujenga stadia inaonyesha tofauti btn us. Uhuru promised 5 stadiums all over the country, amejenga ngapi so far that now he's finishing his reign? Tz iko level ya every giant club owning its own stadia. usiiitaje tz kwenye vitu vya kipumbavupumbavu pulis
 
Kenyan County governments are more efficient than central government of most nations. Let`s take an example with Tanzania and Mombasa, the Magufuli government is depending on the Egyptian Government to build Dododma stadium while Mombasa stadium is getting built without even the help of the central government. This shows how devolution has been a game-changer in Kenya. Let`s see what is cooking in county 001.

Fikeni hii level kwanza ndo uje uandike utumbo wako.
tapatalk_1590213876847.jpg
 
Hakuna uwanja unaojengwa wala kutegemea Morocco.

Juzi nilikuambia data zako nyingi hazipo updated.

Halafu hivyo viwanja vya kuchezea rede ndio unafananisha na viwanja vya Tz embu kuwa na adabu.

Halafu mbona hivyo viwanja havifanani na vile mlivyo pewa ahadi na jubilee
 
Hakuna uwanja unaojengwa wala kutegemea Morocco,

Juzi nilikuambia data zako nyingi hazipo updated,

Halafu hivyo viwanja vya kuchezea rede ndio unafananisha na viwanja vya Tz embu kuwa na adabu,

Halafu mbona hivyo viwanja havifanani na vile mlivyo pewa ahadi na jubilee

Mombasa county and Jubilee are two different entities you fool, this project is getting built by Mombasa and not Jubilee.
 
As so proud to be a Tanzanian.
 
Mombasa county and Jubilee are two different entities you fool, this project is getting built by Mombasa and not Jubilee.
[/QUOTE
Inamana Io pesa inatoka count ya Mombasa au pesa yako umetoa aid? Sio ya joho kweli? Do you mean out of 5 jubilee built none😥😥for you? Pole Sana.
 
Back
Top Bottom