Recent content by good hope

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ameoneshwa kwenye ulimwengu wa kiroho kuwa mimi si mwaminifu

    Ni mschana aliyeokoka, nilimpenda sana na nimemzidi kwa miaka saba, ni mwanafunzi wa chuo fulani, na nilikuwa na malengo nae. Nilimpa kila alichohitaji kutoka kwagu, na alinipa sharti moja kuwa kama niko tayari kuwa nae tusifanye mapenzi mpaka tutakapofunga ndoa, nilimkubalia. Hivyo sikupenda...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa ukubwa 35 kwa 40, kipo Moshi Magereza karibia na Soweto.

    Kipo katika hali nzuri kinafaa kwa biashara.Kutoka katika kituo cha daladala Magereza Unatembea kama mita 800..Kipo karibu na ofis za ccm...kwa mawasiliano zaid 0659663232..Bei mill 22maelewano yapo. Kimenzungushiwa msingi wa mawee...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri:Nina shamba la eka 3 msata

    Natafuta ile mbegu ya kisasa...inapatikana wapi
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Solar 5 ya startimes,mpya camera MP13 being la200000.0659663232
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Solar 5 ya startimes,mpya camera MP13 being la200000.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kuku bora chotara wa Backyard

    Nitumie namba yako.yangu0659663232
  7. G

    JamiiForums Tanzania Diploma Holders waliopata mkopo

    0659663232 tengeneza group
  8. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Bara barani magar mengi yanapeperusha bendera za chadema yaan hadi rahaa
  9. G

    JamiiForums Tanzania Shamra shamra za Ukombozi zimeanza Jijini Dar es Salaam

    Ni sherehe za uhuru wa taifa letu..spati puchaaa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa Njia Panda kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Mtoa mda ni taaaahiraaaa ni zaidi ya tahira niseme sijui ni zombi zuzu.hajui anachokisema
  11. G

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Hivi Leo hii unapomzodoa mt,kumkandia na hata kumzomea,eti ni kwasababu ya ugonjwa wake..Ninani anaependa kuumwaa?Ni nani alie na mkataba na Mungu hadi awazomee wanaoumwa?Inamaana mgojwa Jana haki ndani ya jamii zetu?Tuweni waungwana ushabiki wa kijinga acheni mlio na tabaia kama hii..Sifanyi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kwa akili zangu timamu na busara zangu nakuja kwenu naomba mapokezi yenu

    Naamini tunayaweza yote katika hekima na busara iliyo ndani yetu
  13. G

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Ni aibu.... Hawajiamini wanaamin kuwa bila wasanii wataaibika!hivi kwel ni mkutano wa kampeni au tamasha LA wasanii..Ukwel kufa kwa nyani......
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kwa akili zangu timamu na busara zangu nakuja kwenu naomba mapokezi yenu

    Nafurahi kama tutakuwa pamoja kuelimishana na kufundishana. Tujengeke katika misingi imara ya kimaendeleo.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nimeshaanza kujisogeza Buguruni makao makuu ya CUF

    Yaaani niko tayar kesho nikafie kwenye maandamano .kuliko kuogopa kwenda.
Back
Top Bottom