Diploma Holders waliopata mkopo

Diploma Holders waliopata mkopo

je kuna watu waliotoka Diploma wamepata mkopo? kama wapo waliopata mkopo wajitokeze manake sisi tuliomaliza Diploma tumetengwa sana kwenye mkopo.

Mimi nimechaguliwa UDOM bachelor of education in commerce bt mkopo sijapata
Bado third allocation. Kila mwanafunzi atapewa ndg
 
Kumetokea aina Fulani ya ubaguzi kwa walioomba Mikopo kwa sifa ya diploma kwani asilimia kubwa yetu hatujapata Mikopo na dalili zilizopo ni kwamba tunaweza kupigwa chini kwa wao kuimagine tayari tutakuwa kazini kwahiyo tutaweza kajilipia,kwahiyo nashauri tuunganishe mawazo ni kivipi tutapeleka kilio chetu kisikike kwa Bodi ya Mikopo ili wasitupuuzie, uongozi wa UDSM umekaza mpaka Leo mikopo wengi wamepata sasa sisi tukikaa kimya haitatusaidia.
 
Wanazingua hawa. Watu tumechaguliwa course za Engineering na hatujapata mkopo.
 
Wanatuzingu heslb sisi waliopitia diploma, kma mtu ulikua na vigezo vya kupata chuo utakosaje vigezo vya mkopo
 
Au waliomaliza diploma wao wamekosa sifa?? Tuungane twende mpaka kwa mnikulu wa ikulu haiwezekani
 
Kumetokea aina Fulani ya ubaguzi kwa walioomba Mikopo kwa sifa ya diploma kwani asilimia kubwa yetu hatujapata Mikopo na dalili zilizopo ni kwamba tunaweza kupigwa chini kwa wao kuimagine tayari tutakuwa kazini kwahiyo tutaweza kajilipia,kwahiyo nashauri tuunganishe mawazo ni kivipi tutapeleka kilio chetu kisikike kwa Bodi ya Mikopo ili wasitupuuzie, uongozi wa UDSM umekaza mpaka Leo mikopo wengi wamepata sasa sisi tukikaa kimya haitatusaidia.

hili suala tunalichukuliaje maana dip wengi hata fani za engineering hatujapata huo mkopo
 
ila bado hawajamaliza kuweni wavumilivu kuna third lot nafikiri ndo itakuwa ya mwisho
 
hivyo hivyo kwangu ,,nimemaliza mwaka huu arusha tech (electrical engineering ) na kuchaguliwa tena Must bacherol ya electrical lakini mpaka sasa naona NOT SEQURED sasa ndiyo nini na kama sio upendeleo na majita wangu wengi hawajapata
 
Back
Top Bottom