Recent content by GONGOMA

  1. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi ndivyo Ulega anavyojiandaa kuishika Pwani Kisiasa

    Kumi inatosha akae kando
  2. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania Pattaya city Thailand sehemu maarufu ya maduka kwaajili ya madanguro

    Dah dada yangu alienda huko mwenzi uliopita SAsa unanistua loh
  3. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania Makeke ya Rostam yaanza kuonekana

    Jikoni kuna joto kali mnoo
  4. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu apiga marufuku manesi kufanya kazi katika maduka ya dawa

    Upo sawa kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimemuona Shikuba

    Sikukaba sikuiba a.k.a shkuba.kiukweli huyu ni drug Lord wa nguvu kwa ukanda wa Africa mashariki na baadhi ya nchi kadhaa amekuwa msafirishaji na amelichezesha shere sana mesh la polis tz.
  6. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania Hii katuni ya Kipanya hatari, sio kwa mbeleko hii

    Tunanyanyaswa kiukwel huyu bichwa na mtoto wake wa hiyari
  7. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku

    Wangefanya kwa majaribio hilo zoez lao kwa mikoa kadhaa kuangalia ufanis wake
  8. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu njooni tuwatete huku hawa viumbe, Funguka kuhusu Maudhi ya mume

    Aahh. My dear vipi tena. Ahsante :flame::flame::flame:
  9. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu njooni tuwatete huku hawa viumbe, Funguka kuhusu Maudhi ya mume

    Sindio ilivyo wewe ndio wale wa kupiga ngwala nini?:flame::flame::flame::flame:
  10. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu njooni tuwatete huku hawa viumbe, Funguka kuhusu Maudhi ya mume

    Ahsante my dear yaan hapa niko full mihasira, natafuta likizo fupi hapa kuofc nitalifuatilia tu. Yaan wanaume full stress, yaani halioni mke katoka mkoani kaja kuiona famili:flame:a yeye ubisy na ofisi tu. Ngoja tuu niishie, my young nisije kuzidisha mihasira hapa
  11. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu njooni tuwatete huku hawa viumbe, Funguka kuhusu Maudhi ya mume

    Jianaume lingine halijui kubembeleza mwanamke linataka libembelezwe lenyewe. Yaani halijui ni wakati gani wa kufanya mapenzi wala muda, wala maandalizi likija kama lipunda kisa linapesa zake panda psaa bac kama waweza, huo ni ushamba " Diamond ameimba mwanamke anahitaji kubembelewa na...
  12. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu njooni tuwatete huku hawa viumbe, Funguka kuhusu Maudhi ya mume

    Jimwanaume Zima linasikiliza umbea wa watu haliulizi linajinunisha, yaani Jumamosi ya kuamkia Idd mwenzenu sikulala mwanaume ameongea hadi nahic tuu amepata mtu Dar maana mwenzenu nipo mkoani yan hii mada imenifaa sana Miss chaga Big Up Mama:flame:
  13. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu njooni tuwatete huku hawa viumbe, Funguka kuhusu Maudhi ya mume

    Yanajinunsha bila sababu. Yaani yanibore basi nakalia watoto, ila nikishindwa naondoka.
  14. GONGOMA

    JamiiForums Tanzania What is the meaning of PMTC1?

    nimesikitishwa na watu watu wanaotoa hiz maada za code jaman kama kuna mtaalamu azingatie maadili ya taaluma yake hata hao google hawachambui yote.hiz taaluma zina siri jaman kuwen watii.na taaluma ya afya.wengine waishie kujua panadol tu sio yote.
Back
Top Bottom