Pattaya city Thailand sehemu maarufu ya maduka kwaajili ya madanguro

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,742
Wanakwambie tembea ujionee sio kukaa hapa Tanzania ukiskia ukahaba umezidi buguruni na sokota unasema dunia imefika mwisho wakati wewe ndio umefika mwisho kwenye maeneo uliyosikia au kutizama.

Huko nchini Thailand biashara ya ngono ni jambo la kawaida na tena biashara inayotambulika bila wasiwasi.kama unavokwenda kariakooo mchana ukaona msululu wa maduka basi hapa Pattaya ndio kariakoo ya mandanguro.
Hakuna cha mchana wala usiku na kila duka lina funguliwa kwa mda wake,kuna huduma zote na uwezi kuibiwa wala kupotezewa pesa yako.

Kuna maduka ya ngono kama vunja bei na mabaa kama samaki samaki na kitambaa cheupe huduma zipo.nimetumia mfano
Starehee zote zipo za ngono zipo.

Kwa sisi tunaita kariakoo ya mbususu

ANGALIZO:kuna visanii na ndugu vinajifanya vimetoa wanawake Thailand,malysia na singapori kuweni na mashaka naweza kuvianika uchufu wa huko.
 
Ujinga wa Thailand ni mmoja, kuna ma tranny(vidume vina fanya operation ya kujiwekea matako na matiti)wengi kuliko sehemu yoyote Duniani, na ni wazuri kwelikweli huwezi watofautisha na wanawake, kwa io ukienda huko kua makini no bidhaa unayoichukua.

Hasa hasa sie wapiga gambe, usije chukua tranny ukaenda kupiga shoo ya kijinga akakugeuza akakupiga pumbu kukuonesha kazi inavyofanywa

Kuna bar unakuta wameandika kabisa bango 'real women available' maana asilimia kubwa Kule ni vidume vyenye matako na matiti
 
Back
Top Bottom