ng'ambakwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 246
- 83
Wanataka akimbie hao
Ungeleta taharuki kwenye jamii...wengi wanashangaa siku hizi vijana wakivuta ugolo lakini ukweli ugolo umekuwa ukitumiwa muda mrefu na raia wengi wa nchi hii hasa wa vijijiniHiv ugolo nao ungepigwa marufuku je tungeficha wapi nyuso zetu.................
Hahahaha si wanaongea tu!Halaf jamaa anasema HUYO NI MCHUUZI.
Bibi yangu ndiyo ilikuwa ulevi wake! Tangu namjua!Ungeleta taharuki kwenye jamii...wengi wanashangaa siku hizi vijana wakivuta ugolo lakini ukweli ugolo umekuwa ukitumiwa muda mrefu na raia wengi wa nchi hii hasa wa vijijini
Tamaa tu za watoto kusambaza mzigo kwa dola buku 5,drug lord wanashusha mzigo US na private boat na hawakamatwi.huyu jina lake lilikuja juu baada ya vijana wake kudakwa dakwa sana.Shkuba alikuwa n'a mtandao wa ksafirisha madawa dunia nzima....kuanzia marekani,canada,brazil,ulaya,Asia,africa etc...
Elchapo anawrza kumzidi shkuba kifedha lkn when or comes to netwrk shkuba alikuwa na mtandao mkubwa naye.... . ,
ova
ukishamjuwa ? wewe pambana na hali yako
Shkuba kwenye game ni kitambo sana ...hao wakina chonji ni watu wadogo sana....shkubaHao wamefundishwa kazi na chonji
chonji alkua noma anamiliki nyumba mtaa ule wa jangwani sea breeze alkua analeta mzigo kwa boti tena una escort ya jeshi kuhusu mali ndo usiseme
Wakati chonji before ashawahi kuwa punda wa shkuba.....Yaani CHONJI kamfundisha kazi SHKUBA???
Tamaa tu za watoto kusambaza mzigo kwa dola buku 5,drug lord wanashusha mzigo US na private boat na hawakamatwi.huyu jina lake lilikuja juu baada ya vijana wake kudakwa dakwa sana.
wa siku nyingi ndio ni mkongwe kakaa sana kwenye hiyo biashara
Shkuba alikuwa n'a mtandao wa ksafirisha madawa dunia nzima....kuanzia marekani,canada,brazil,ulaya,Asia,africa etc...
Elchapo anawrza kumzidi shkuba kifedha lkn when or comes to netwrk shkuba alikuwa na mtandao mkubwa naye.... . ,
ova
ilianza juzi hapo na ishazimwa,huko malord mpk leo wanashusha mzigoKwani tanzani au pwani ya afrika mashariki unga unakujaje!
Trip moja ya madawa ikiletwa n'a mtu mmoja inakaribia ton 1na unakuja kwa njia ya maboti pia
Ova
hii imekaaje tenaaa
Hapo hakuna case mana hakushikwa yeye na unga ni vijana wke,ndio mana serikali imeona imeshindwa ndio wanataka kumpeleka usa ila mawakili wake watashinda hiyo case ya kusafirishwaShkuba kwenye game ni kitambo sana ...hao wakina chonji ni watu wadogo sana....shkuba
ndy alikuwa anapokea consigmnt wa Mzigo
mkubwa sana n'a yeye alikuwa ni supplier es
e.africa,West africa,south africa,ulaya,marekani,south africa,hadi Australia
Hadi mali nyingi sana anamiliki nje ya nchi hadi ulaya
Ova
Hahaha kweli jambo usilolijua ni sawa sawa na usiku wa Giza........Ni sawa sawa na kusema Rais Magufuli kamfundisha Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuongoza wananchi wa Tanzania.Hao wamefundishwa kazi na chonji
chonji alkua noma anamiliki nyumba mtaa ule wa jangwani sea breeze alkua analeta mzigo kwa boti tena una escort ya jeshi kuhusu mali ndo usiseme
Anamfikia PABLO ESCOBER(Rest in PIECES)Shkuba alikuwa n'a mtandao wa ksafirisha madawa dunia nzima....kuanzia marekani,canada,brazil,ulaya,Asia,africa etc...
Elchapo anawrza kumzidi shkuba kifedha lkn when or comes to netwrk shkuba alikuwa na mtandao mkubwa naye.... . ,
ova
Duh huyo mpka leo hakuna aliyemfikia!mkuuAnamfikia PABLO ESCOBER(Rest in PIECES)
ugolo unatokana na zao/mmea ganiUngeleta taharuki kwenye jamii...wengi wanashangaa siku hizi vijana wakivuta ugolo lakini ukweli ugolo umekuwa ukitumiwa muda mrefu na raia wengi wa nchi hii hasa wa vijijini
Mbali na kwamba alikuwa ni mhalifu,jamaa alikuwa genius akimiliki kikosi hatari cha kumlindaDuh huyo mpka leo hakuna aliyemfikia!mkuu
Ova