Recent content by Goma Son

  1. G

    JamiiForums Tanzania Njia nyembamba (Simulizi mpya by SteveMollel)

    mkuu steve naomba unitag na mimi please
  2. G

    JamiiForums Tanzania The Other Half (Simulizi)

    The bold
  3. G

    JamiiForums Tanzania The Other Half (Simulizi)

    mkuu pia kule kwenye vipepeo nilikuomba msaada wa link yenye episode ya 15 hadi 24 please sana.
  4. G

    JamiiForums Tanzania The Other Half (Simulizi)

    thanks a lot broo...this is fantastic... naomba niadd mkuu kwenye taglist yako please..#story ya kulevya
  5. G

    JamiiForums Tanzania Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    mkuu the bold naomba link ya vipepeo episode ya 15 hadi ya 24 coz nazitafta hadi nimechoka jinsi ya kuzipata hapa na kule kwenye website nimeingia ila nimekuta kuazia episode ya 25... naomba link mkuu tafadhali
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mh. Nape kwa nini Clouds media waliamua kukuandalia mkutano na waandishi wa habari?

    yaleyale boya kweli wew kwaiyo bashite alivyoandaliwa promo na clouds siku zote izo hukuona ubaya? ubaya unauona leo clouds kumuandalia nape mkutano? #..zero brain at work....
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    for the first time nakupongeza ruge kwa kutomumunya maneno... leo umeanza kuirudisha heshima ya clouds iliyoanza kuzorota miaka ya karibuni.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Asante Majizo na TV E

    ivi kwanin kila media mpya ikianzishwa lazima ifananishwe na clouds na sio itv..eatv n.k?? .. apo ndo utakapojua kwamba watu pamoja na kuiponda clouds humu jukwaani lakin masaa 24 wanaiangalia na kuisikiliza......big up clouds kweli mti wenye matunda ndo hupigwa mawe... kama huiangalii au...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Clouds hawajui tofauti na maana ya maneno: Fursa na hamasa

    kwan mmelazimishwa kwenda kusikiliza? acheni unafki au kisa clouds? wangefanya media zingine usingesikia makelele yote haya...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ruge amzungumzia Jaydee, Ruby, Rama Dee, Diamond, THT, Fiesta na Muziki wa Bongo Fleva ndani ya XXL

    kumbe wasanii wanalipwa pesa nzuri tu fiestani!!... 5mil up to 6mil per show..... kumbe zile laki mbili zinazosemwa humu ni unafki wa wabaya wenu...hongera ruge kwa kuliweka wazi hilo leo.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    man fongo bado tu
  12. G

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    chege naona anarudisha usingizi wang....chengaaaaaaa
  13. G

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    hawa jamaa wameondoa usingizi woteee....asante clouds kwa kurudisha playback ya watanzania
Back
Top Bottom