King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,338
- 88,505
Channel Number Ngapi?IPO hata kwenye Azam nimeiona
Channel Number Ngapi?IPO hata kwenye Azam nimeiona
ivi kwanin kila media mpya ikianzishwa lazima ifananishwe na clouds na sio itv..eatv n.k?? .. apo ndo utakapojua kwamba watu pamoja na kuiponda clouds humu jukwaani lakin masaa 24 wanaiangalia na kuisikiliza......big up clouds kweli mti wenye matunda ndo hupigwa mawe... kama huiangalii au huisikilizi umejuaje haya unayoita makelele ya fursa...tunakufungulia dunia...fursa n.k....umeyasikia tv e au efm au eatv? tuache unafki wabongo.
Sijaiona mkuu iko namba ngapi?IPO hata kwenye Azam nimeiona
IPP media wana standard inayoeleweka sanaSija iangalia hiyo TV ila kwa Clouds Tv ni moja ya tv mbovu hapa Tz, kwa hiyo hata wasilenge kushindana na Cloudz tv walenge at least kushindana na EATV maana ndiyo Tv ya burudani yenye viwango vya juu hapa bongo
afadhali kama wamekuja watu wenye quality zao.
Kwa sasa tz EATV wana vipindi bora sana labda wanachotakiwa kufanya ni kutafura watangazi mahiri zaidi na production nzuri zaidi hasa ya HDNakubaliana nanyi aisee, huwezi walinganisha clouds na Eatv, Eatv ni watu weredi sana na vipindi vya kueleweka, hata vipindi vingi wamekopi Eatv
Haya tumekusikia Sam Sasaliivi kwanin kila media mpya ikianzishwa lazima ifananishwe na clouds na sio itv..eatv n.k?? .. apo ndo utakapojua kwamba watu pamoja na kuiponda clouds humu jukwaani lakin masaa 24 wanaiangalia na kuisikiliza......big up clouds kweli mti wenye matunda ndo hupigwa mawe... kama huiangalii au huisikilizi umejuaje haya unayoita makelele ya fursa...tunakufungulia dunia...fursa n.k....umeyasikia tv e au efm au eatv? tuache unafki wabongo.
Acha umbwende kitu clouds Tv mtanyooookaa mbonaHahahaha CCM TV ya ruge hawana jipya kazi kucopy vipindi EATV
IPO.vipi kwenye startimes ipo?
Scan/search channel itaingia tuMbn mi siipat kwenye Dstv tatzo laweza kuwa nn
Kumbe umbwende....... haaaa nilikua sijui tv yenu ya kutolea matamko kila siku hasa mjomba ako mdogo madrevaAcha umbwende kitu clouds Tv mtanyooookaa mbona