Hivi ulishawahi kujiuliza miaka nenda rudi kwanini hajatokea mwingine mwenye kuwalipa wasanii vizuri, mwenye kuandaa show kubwa, mwenye kuibua vipaji kama yeye?Iko hivi, wanaomshutumu wakati wanamshutumu huwa na jazba na hasira, wote tunafahamu, mtu akiwa katika hali hiyo mara nyingi ataongea bila mpangilio.
Jiulize kwann na yeye huwa hajibu hapokwahapo bali husubiri hasira zake za kutajwa vibaya ziishe, kisha anajipanga vyema ili kuja kujibu hoja.
Hapo mnaona jamaa muungwana kweli na kusahau yote aliyolalamikiwa na wasanii.
Kwa fikra hizo mnazoonyesha, zidumu fikra za mwenyekiti,kidumu chama, acha tuisome namba.
Rama dee ni kinega naye aliunga tela la sugu akidhani sugu anapigania maslai ya wasanii kumbe anadai maslai ya ela ya project ya malaria, alipoitwa kusuruhishwa wayamalize na ruge hakukumbuka hata kuwapa taarifa wenzake akawaacha na njaa mpaka wengine walienda omba msamaha clouds.Kwa kweli kuhusu rama D,sifahamu chochote,ila kama alivyonukuliwa hapo juu inaonekana kuna tatizo ambalo hajaliweka wazi.
Usitafute umaharufu kupitia kwangu we popoma.Kusoma inakua tabu kazi kuuliza miswali ya kimashauzi ka mtt wa darasa lapili A.
Eti "umaharufu" ndo maana nakwambia unaakili za darasa lapili A ,kuandika tu tabu achilia mbali mashauzi yako hii kweli mwanaume kupumuliwa nayo ni kokoroUsitafute umaharufu kupitia kwangu we popoma.
ha haaa haaa punguza jazba mkuuEti "umaharufu" ndo maana nakwambia unaakili za darasa lapili A ,kuandika tu tabu achilia mbali mashauzi yako hii kweli mwanaume kupumuliwa nayo ni kokoro
Ndio fursa zenyewe anazokwambia yani inabidi kujiongeza...Ruge yuko smart na anajua kucheza na nyakati...anajua kutengeneza bifu kutengeneza hela.. anajua kukojikomba na kunyenyekea.inategemea nan yuko mbele yake!.ni opotunist!
Mwangalie dj fetty kajiajiri sasa mwangalie mtu kama B 12, ana duka lake la nguo born 2 shine! huyu Ruge ukikaa nae hukosi madini kutoka kwakeSure man...
Inaelekea clouds fm wafanyakazi wake wanaenjoy kazi yao na wanapata opportunities nyingi.
Mkuu kwani hujaskiliza hayo mahojiano Ruge amesema hana bifu na jide walisha yamaliza ila anasubiri jide atoe kibali nyimbo zake zianze kuchezwe cloudsJamaa yuko vizuri, ila ningependa kama wangemaliza bifu na Ladyjayde na rama dee tunakosa mziki wao mzuri hasa r&b ya rama d
Kiukweli steshen nyingine zinapiga ile hazipewi promo ya kutosha unaweza zisikia kwa mwezi mara moja
Angetumia tu busara za kiutu uzima hata kama wao hao wasanii ndio walikosea
Jamaa yuko poa tu labda hide ndo awe na shida, wamalize tu tofauti zao ,labda awe anaongea unafk kwenye radioJamaa yuko vizuri, ila ningependa kama wangemaliza bifu na Ladyjayde na rama dee tunakosa mziki wao mzuri hasa r&b ya rama d
Kiukweli steshen nyingine zinapiga ile hazipewi promo ya kutosha unaweza zisikia kwa mwezi mara moja
Angetumia tu busara za kiutu uzima hata kama wao hao wasanii ndio walikosea
Kuibiwa sio lazima niwe niliibiwa mimi.Alikuibia nini hebu tujuze kidogo
No kweli alisema, no binadamu Ana hisia na hasira, ukijumlisha na kabila lake na jeuri ya ustaa, but wamalize tofauti zao tu maisha yaendeMwenye tatizo ni JD na sio Ruge, kwani ni JD ndie alietoka hadharani na kuanza kuwatukana clouds fm bila kutaja sababu na kuwakatza wasipige nyimbo zake katika redio yao(clouds fm) na siku akifa wasifike kumzika na wakifika watu watakao kuwepo wawapige mawe Ruge na Kusaga,huo ni usia aliouandika hadharani na watanzania wengi waliuona na JD hakutoa nafasi ya suluhu kwa kuwa hakutaka hilo.
anaewadai CCMNani huyo?
Bows wetu wa magazeti ya udakuNani huyo?